KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOVAANA NA AZAM KAGAME LEO
KAGAME CUP || 2014-2015.ROBO FAINALI || YANGA SC vs AZAM FC.KIKOSI CHA YANGA LEO.1.Ally Mustafa Mtinge "Barthez"2.Juma Japhary Abdul3.Mwinyi Hadji Ngwali.4.Kelvin Patrick Yondani "Cotton"5.Nadir Haroub...
View ArticleHATIMAYE DIABY APATA TIMU UFARANSA
Aliyekua kiungo wa klabu ya Arsenal, Vassiriki Abou Diaby amekataa kufikia makubaliano na uongozi wa West Brom ambao ulionekana kuwa tayari kumsainisha mkataba ili aendelee kusalia nchini England.Diaby...
View ArticleMESI WA SIMBA ATUA COASTAL UNION
Winga wa kulia Mpya wa Coastal Union Ibrahim Twaha " Messi" akisaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia Coastal Union kulia ni Katibu Mkuu,Kassim El Siagi kushoto ni Meneja wa timu ya Coastal Union...
View ArticleAZAM FC WAIANGUSHA YANGA KOMBE LA KAGAME, AISHI MANULA SHUJAA!
AZAM FC imefanikiwa kutinga nusu Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame kufuatia ushindi wa penalti 5-3 dhidi ya mabingwa wa Tanzania bara, Young Africans baada ya sare ya...
View ArticleURAIS FIFA: MICHAEL PLATINI AMESHAANZA KUPIGWA MADONGO YA UKWELI
Rais wa Uefa Michael Platini mwenye miaka 60 ameshambuliwa kwa maneno na wagombea wenzake wawili masaa kadhaa tu tangu atangaze kuwania mikoba ya rais wa FIFA, Sepp Blatter jumatanohii.Platini anasema...
View ArticlePICHA 6 ZA ARTURO VIDAL AKIWA MAZOEZINI KWA MARA YA KWANZA BAYERN MUNICH
Mchezaji wa Chile kwa mara ya kwanza ameshiriki mazoezi na club yake mpya Bayern Munich ambayo inashiriki ligi ya Bundesliga.Vidal amejiunga na club hii akitokea Juventus na gharama iliyotumika...
View ArticleMAMBO HAYA YA BINADAMU YAMKERA KATIBU MKUU SIMBA SC
Hakuna binadamu mwenye moyo wa chuma! linapotokea jambo ambalo mtu hapendi, basi kuna asilimia 100 za kuchukia, ingawa wengine hasira zao huisha haraka na wengine huendelea kuchukia daima.Lakini...
View ArticleTAARIFA MPYA YA MSIBA WA BABA MZAZI WA HARUNA MOSHI 'BOBAN'
Haruna Moshi Boban amefiwa na baba yake mzazi.Kila nafsi itaonja mauti! pumzika kwa amani Mzee Moshi Shabani!Huyu ni baba mzazi wa Wanasoka maarufu nchini ambao ni Mrisho Moshi, Iddi Moshi ‘Mnyamwezi’,...
View ArticleHII HAPA STORI KUBWA MANCHESTER UNITED WAKINYOLEWA NA PSG
Zimesalia siku tisa tu kuanza kwa ligi kuu soka England (EPL) msimu wa 2015/2016 na timu zote zipo hatua ya mwisho ya maandalizi.Manchester United wataanza kurusha karata ya kwanza dhidi ya Tottenham...
View ArticleMATUKIO KATIKA PICHA AZAM WAKIINYONYOA YANGA KAGAME CUP
Wachezaji wa Azam wakisherekea ushindi baada kuilaza Yanga kwenye mhezo wa robo fainali uliochezwa jana kwenye uwanja wa TaifaGolikipa wa Azam FC Aishi Manula akifanyiwa mahojiano na kituo cha Super...
View ArticleUNAJUA WALICHOSEMA MAKOCHA WA YANGA, AZAM?
Kocha wa Azam FC Stewart Hall akizungumza na waandishi wa habariKocha wa Yanga Hans van Pluijm na Stewart Hall wa Azam walizungumzia mchezo wa jana kila mtu kwa wakati wake lakini kila mmoja akisema...
View ArticleUSIYOYAJUA KUHUSU NUSU FAINALI YA KAGAME 2015
Baada ya Azam FC kushinda mchezo wa robo fainali jana dhidi ya Yanga kwa changamoto ya mikwaju ya penati 5-3 na kufanikiwa kuungana na timu nyingine tatu ambazo tayari zilikuwa zimeshafuzu kucheza...
View ArticlePICHA 3 DIDIER DROGBA AKITIKISA ARDHI YA MAREKANI
Moja ya magwiji wa soka katika klabu ya Chelsea ni Didier Drogba .Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Ivory Coast kwa nyakati tofauti amefurahia maisha yake ya soka nchini England, Ufaransa, Uturuki na...
View ArticleXAVI AMUOMBA GUARDIOLA KUFANYA MAAMUZI HAYA PINDI WAKATI UTAKAPOFIKA
Nyota wa zamani wa Barcelona Xavi amemshawishi kocha wake wa zamani Pep Guardiola siku moja kurudi klabuni hapo endapo atahisi ni muda muafaka.Guardiola alifurahia maisha yenye mafanikio akiwa na klabu...
View ArticleKWA SUALA HILI,,,,FLAMINI AMPA TANO MOURINHO
Mathieu Flamini amemshukuru Jose Mourinho kwa kumuuza Petr Cech kwa Arsenal.Cech alihitimisha uhamisho uliogharimu pauni milioni 11 kuelekea Emirates mwezi uliopita, na kukamilisha miaka yake nane...
View ArticleMABEKI TEULE WA MANCHESTER UNITED WATAKAOCHEZA NA TOTTENHAM AGOSTI 8
Hatimaye burudani ya ligi pendwa zaidi Duniani inakaribia kuanza, lakini swali kubwa linabaki: Chelsea wataweza kutetea ubingwa wao?Klabu ya Arsenal, Manchester City, Manchester United na Liverpool...
View ArticleVIDEO: PSG WAMEPIGA TIKI-TAKA ZLATAN IBRAHIMOVIC AKIIDUNDA MANCHESTER UNITED
Mipango ya Manchester United kwenye mechi ya mwisho ya katika ziara ya Marekani haikwenda sawa ndani ya kipindi cha kwanza kwani PSG waliwadhihirishia kwamba ni klabu bora barani Ulaya.Blaise Matuidi...
View ArticleVIDEO: GOLI LA KWANZA LA CARLOS TEVEZ AKIICHEZEA BOCA JUNIORS
Carlos Tevez ameanza vyema maisha mapya Boca Juniors ya Argentina akifunga goli lake la kwanza.Akicheza mechi yake ya tatu baada ya kurejea kutoka Ulaya ambako alicheza kwa mafanikio katika klabu za...
View ArticleKIINGILIO NUSU FAINALI KOMBE LA KAGAME HELA YA MBOGA TU!
Hatua ya nusu Fainali ya Michuano ya Kombe la Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup) inatarajiwa kuendelea kesho katika uwanja wa Taifa, huku kiingilio cha chini katika michezo hiyo kikiwa...
View ArticleMALINZI ATOA KAULI KUHUSU AZAM FC KUTINGA NUSU FAINALI KAGAME
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi ametuma salamu za pongezi kwa klabu ya Azam FC kwa kufanikiwa kuingia katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Kagame. Katika salamu...
View Article