Haruna Moshi Boban amefiwa na baba yake mzazi.
Kila nafsi itaonja mauti! pumzika kwa amani Mzee Moshi Shabani!
Huyu ni baba mzazi wa Wanasoka maarufu nchini
ambao ni Mrisho Moshi, Iddi Moshi ‘Mnyamwezi’, Ally Moshi na Haruna Moshi ‘Boban’.
Mzee huyu amefariki dunia jana saa sita mchana na taarifa kutoka uongozi wa klabu ya Boban, Friends Rangers kuhusu mazishi inasomeka....