Akicheza mechi yake ya tatu baada ya kurejea kutoka Ulaya ambako alicheza kwa mafanikio katika klabu za Manchester United, Manchester City na Juventus, Tevez jana usiku amefunga goli hilo dhidi ya Banfield.
Hilo lilikuwa goli la tatu katika ushindi wa 3-0 waliopata Bpca Juniors.
Tazama goli la Carlos Tevez............