SHAWCROSS AMKEJELI COSTA
Mlinzi wa kati wa Stoke City Ryan Shawcross amesema kuwa, Diego Costa alifanya kosa kubwa sana kutumia muda mwingi kutaka malumbano uwanjani badala ya kucheza mpira zaidi, kwenye mchezo ambao Chelsea...
View ArticleSTARS NDANI YA ALGERIA, SAMATTA AWAPAGAWISHA
Mashabiki wa Algeria wakipiga picha na SamattaStars wakiondoka Airport kwa basiSamatta akipiga picha na binti wa KitanzaniaWachezaji wa StarsCredit:boiplus blog
View ArticleKAMUSOKO AIPAISHA YANGA KILELENI DAKIKA ZA USIKU...
YANGA SC imerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji African Sports Uwanja wa Mkwakwani, Tanga jioni ya leo.Bao hilo pekee la mabingwa hao watetezi...
View ArticleMKUTANO MKUU WA TFF WAPIGWA CHINI KISA KUFULIA...
MKUTANO Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) uliokuwa ufanyike mwishoni mwa wiki mjini Tanga, sasa hautakuwepo.Wajumbe wote wa Mkutano Mkuu wa TFF wametumiwa ujumbe mchana wa leo kutaarifiwa...
View ArticleMAZEMBE YA SAMATTA NA ULIMWENGU YALAMBA KITITA HIKI LICHA YA KUBOMOLEWA...
Mshambuliaji wa TP Mazembe Mbwana Samatta (katikati) akiwatoka wachezaji wa Club AmericaWatanzania wanaokipiga klabu ya TP Mazembe ya nchini Congo DR wameshuhudia timu yao ikishindwa kupata ushindi kwa...
View ArticleARSENAL ITACHUKUA UBINGWA EPL NA LEICESTER ITAKIPIGA UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Leicester ni club ambayo inafanya vizuri hivi sasa kwenye EPL ambapo imekua tishio kwa club kubwa kwenye mechi zao mbalimbali. Kama sio kutoka suluhu basi lazima washinde mechi dhidi yao.Arsenal...
View ArticleMSIMAMO MPYA WA LIGI KUU TANZANIA BARA HUU HAPA....
Ushindi wa 1-0 waliopata Yanga jana dhidi ya wenyeji African Sports katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliochezwa uwanja wa CCM Mkwakwani Tanga uliwafanya mabingwa hao watetezi wapae kileleni mwa...
View ArticleHEHEHE! HUU NI UTANI WA NGUMI KWA CHELSEA.....
Inafahamika kwamba Chelsea wapo katika hali mbaya msimu huu wakiwa nafasi ya 16 katika msimamo wa EPL ambapo wamekusanya pointi 15 kufuatia kucheza mechi 16, na kushinda 4, sare 3 na kufungwa...
View ArticleGUARDIOLA KUTUA ETIHAD AU OLD TRAFFORD? SOMA RIPOTI HII....
KOCHA wa Mabingwa wa ligi ya Ujerumani, Bundesliga, Bayern Munich, Pep Guardiola, ameripotiwa kuwa mwishoni mwa Wiki hii atatangaza rasmi kutoendelea na Klabu hiyo baada ya Msimu huu kumalizika.Mkataba...
View ArticleMAJINA YANAYOWEZA KUMRITHI MOURINHO YATAJWA....
Wakati huu Chelsea wakijadili hatma ya kocha wao Jose Mourinho ambaye yuko hatarini kutimuliwa Stamford Bridge, tayari orodha ya makocha wenye uwezekano wa kubeba viatu vyake imetoka kutoka kwa...
View ArticleWAFAHAMU WALIOTOKA NA KUINGIA AZAM FC USAJILI WA DIRISHA DOGO
KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imefanya usajili kwa nafasi moja na kuwatoa kwa mkopo wachezaji wengine wanne katika dirisha dogo la usajili lililofungwa nchini saa 6.00 usiku wa...
View Article'WANAKOMA KUMWANYA' MBEYA CITY FC SASA WAKAZA MSULI....
Na Mwandishi Wetu, MbeyaKocha mkuu wa Mbeya City FC 'Wanakoma kumwanya', Meja Mstaafu Abdul Mingange anaendelea na program zake za mazoezi  kwenye uwanja wa Sokoine jijini hapa tayari kwa mchezo ujao...
View ArticleMOURINHO AFUNGASHIWA VIRAGO 'THE BLUES'
Jose Mourinho Meneja wa klabu ya Chelsea ya Uingereza amefutwa kazi baada ya klabu hiyo kuwa na msururu wa matokeo mabaya.The Blues walishinda Ligi ya 'Premier' msimu uliopita lakini msimu huu mambo...
View ArticleWATU KUMI AMBAO INAWEZEKANA WAMEFURAHISHWA NA KUFUKUZWA KWA MOURINHO
Mashabiki wengi wa soka ulimwenguni wameshtushwa n kusikitishwa na taarifa za kufukuzwa kwa Jose Mourinho.Kwa mashabiki wa timu tofauti tofauti, taarifa ya za kufukuzwa kwa 'The Special One' kutaacha...
View ArticleMAONI YA KLOPP BAADA YA KUTIMULIWA KZI KWA MOURINHO
Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp ameilezea hali ya kufukuzwa kwa aliyekuwa kocha wa Chelsea kama "hali ya kuhuzunisha sana".Mourinho alifukuzwa Alhamisi wiki hii baada ya kushuhudia Chelsea ikipoteza...
View ArticleCHELSEA WATANGAZA KOCHA MPYA HUYU HAPA
Aliyekuwa meneja wa timu ya taifa ya Uholanzi Guus Hiddink ameteuliwa kuwa kaimu meneja wa Chelsea hadi mwisho wa msimu.Ameteuliwa baada ya Jose Mourinho kufutwa Alhamisi."Nimefurahia kurejea Stamford...
View ArticleHIDDINK AWAPOZA MOYO MASHABIKI WA CHELSEA, SOMA HAPA ALICHOZUNGUMZA
Guus Hiddink amesisitiza kuwa Chelsea wanaweza kubadili kabisa matokeo mabaya yanayowakumba msimu huu na punde tu baada ya kutangazwa kocha mkuu wa klabu hiyo akirithi mikoba ya Mreno Jose...
View ArticleMULLER AZUNGUMZA HAYA BAADA YA TETESI ZA KUONDOKA KWA GUARDIOLA
Thomas Muller amesema kuwa wachezaji wa Bayern Munich hawana wasiwasi wowote juu ya hali ya sintofahamu inayoendelea klabuni hapo baada ya tetesi za kuondoka kwa kocha wao Pep Guardiola.Kocha huyo...
View ArticleRANIERI ANA KAULI HII HAPA JUU YA UBINGWA WA EPL MSIMU HUU
Kocha wa Leicester City Claudio Ranieri, amesema kwamba atajipa matumaini ya kuchukua 'ndoo' ya Ligi Kuu England endapo ataendelea kubaki kileleni mpaka mwishoni mwa mwezi Aprili.Leicester City...
View Article