GUARDIOLA SASA KUONDOKA BAYERN MWISHO WA MSIMU, MRITHI WAKE ATANGAZWA
Bayern Munich wamethibitisha rasmi kwamba Carlo Ancelotti atachukua mikoba ya Pep Guardiola baada ya msimu huu wa ligi kumalizika.Guardiola, amejipatia mafanikio makubwa akiwa na miamba hiyo ya...
View ArticleBARCA BINGWA KLABU BINGWA DUNIA, NIMEKUWEKEA VIDEO ZA MAGOLI HAPA
 Wachezaji wa Barcelona wakishangilia baada ya kutwaa ubingwa wa Klabu Bingwa Dunia kwa mara ya tatu baada ya kuwafunga River Plate ya Argentina kwa mabao 3-0Neymar, Luis Suarez na Lionel Messi...
View ArticleLIVERPOOL YATOKOTA MBELE YA WATFORD, YALIWA 3-0 (VIDEO YA MAGOLI YOTE IPO HAPA)
Odion Ighalo akiwa kwenye ubora wa hali ya juu ameisaidia Watford kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 nyumbani dhidi ya Liverpool baada ya kufunga mabao mawili na kuipeleka timu yake katika nafasi ya saba...
View ArticleFIFA WAWAPIGA RUNGU LA MIAKA NANE BLATTER, PLATINI.
Rais wa Fifa Sepp Blatter na mwenzake wa Uefa Michel Platini wote kwa pamoja wamefungiwa kujihusisha na masuala ya soka kwa miaka 8 kuanzia leo, hii ni kwa mujibu wa Kamati ya Maadili ya kujitegemea ya...
View ArticleOZIL ATOA SABABU YA KUTOJIANGUSHA UWANJANI
Mesut Ozil ameahidi kuwa kamwe hutomwona akijiangusha ama akijaribu kumdanganya mwamuzi pindi awapo uwanjaniKiungo huyo mchezeshaji, ambaye yuko kwenye kiwango cha juu hivi sasa akielekea kuvunja...
View ArticleOZIL BADO ANA IMANI KUBWA NA MOURINHO, HIKI NDICHO ALICHOKISEMA
Mesut Ozil anahisi kuwa kocha wake wa zamani Jose Mourinho anaweza akaifanya Man United kurudi katika ubora wake tena kama zamaniMourinho aalifukuzwa na Chelsea wiki iliyopita baada ya mfululizo wa...
View ArticlePICHA: ANGALIA HARUSI YA FRANK LAMPARD NA MKWE JINSI ILIVYONOGA
+15Frank Lampard akimbusu mke wake Christine Bleakley baada ya kumaliza zoezi la harusi+15Akitabasamu+15+15Bleakley ambaye ni mtangazaji wa runinga akionekana mwenye furaha na Lampard vivyo...
View ArticleNGOMA, NONGA WATAFUTIWA BONGE LA KOMBINESHENI NA PLUIJM
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm ameanza kuwatafutia kombinesheni kali washambuliaji wa timu hiyo, Donald Ngoma na Paul Nonga, ili waweze kufunga mabao Ligi Kuu Bara na Ligi ya Mabingwa Afrika...
View ArticleCECH AIPA UBINGWA ARSENAL
Mlinda lango wa Arsenal Petr Cech amesema kwamba kupona kwa baadhi ya wachezaji muhimu wa kikosi cha kwanza kutawafanya wachukue taji la EPL msimu huu.Arsenal walikuwa katika kiwango bora katika mchezo...
View ArticleMAJABVI AWAPIGIA MAGOTI SIMBA
Klabu ya Simba inapenda kuufahamisha umma kuwa mchezaji wake toka Zimbabwe Justice Majabvi ameomba kurejea  kwenye timu baada ya kutafakari upya uamuzi wake wa awali wa kutofanya mazoezi na wenzake.Leo...
View ArticleKANE AMESEMA ANATAKA KUMFIKIA MESSI KWA MAGOLI MSIMU, NA HII NDIO TWEET YAKE....
Mshambulizi wa Tottenham na England Harry Kane ameweka tageti zake za kufunga ili kumfikia Leo Messi.Akiwa na magoli 30 kwa klabu yake na timu yake ya taifa msimu huu, Kane ameibuka kuwa moja ya...
View ArticleCHEKA AONJA JOTO YA JIWE KWA MASHARI
Bondia Thomas Mashari kutoka Dar amempiga Francis Cheka kwa pointi mjini Morogoro katika pambano la raundi 10, uzito wa Kg 77.Majaji wamempa Mashari pointi 94, 96 na 97 wakati mwenyeji Cheka amepata...
View ArticleHUU NDIYO WASIWASI MKUBWA WA HIDDINK JUU YA CHELSEA
Guus Hiddink ametanabaisha kuwa ana wasiwasi mkubwa sana juu ya nafasi ambayo Chelsea wanaweza kukamata, huku akifurahisi na hali ya wachezaji wake kujiamini baada ya suluhu dhidi ya Manchester United...
View ArticleCECH AVUNJA REKODI HII HAPA KUNAKO LIGI KUU UINGEREZA
Petr Cech amevunja rasmi rekodi ya kuwa kipa aliyecheza mechi nyingi bila ya kufungwa 'clean sheets' katika historia ya Ligi Kuu EngalndCech '33' amevunja rekodi ya David James baada ya kufukisha idadi...
View ArticleSAMATTA ATIA MAGUU OFISINI KWA NAPE, WATETA JUU YA TUZO YA MCHEZAJI BORA AFRIKA
Mbwana Samatta (kulia) akiwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Mh. Nape NnauyeMshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta leo amekutana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii...
View ArticleAZAM OYA OYA, YAINYUKA MTIBWA NA KURUDI KILELENI
Wachezaji wa Azam FC pamoja na benchi la ufundi wakishangilia goli lililofungwa na John Bocco ‘Adebayor’ ambalo imeipeleka timu hiyo kileleni mwa ligi kuu ya Vodacom Tanzania baraGoli pekee la team...
View ArticleBARCA WAINYUKA BETIS 4-0 NA KUVUNJA REKODI HII
Lionel Messi amefanikiwa kuifungia Barcelona goli katika mechi yake ya 500 kwa timu hiyo huku wakifanikwa kuibuka na ushindi wa mabao 5-0.Messi alifunga goli hilo baada ya kupoke apasi murua kutoka kwa...
View Article