Ushindi wa 1-0 waliopata Yanga jana dhidi ya wenyeji African Sports katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliochezwa uwanja wa CCM Mkwakwani Tanga uliwafanya mabingwa hao watetezi wapae kileleni mwa msimamo wakiwazidi Azam FC pointi moja, ingawa wanalambalamba wana mechi moja mkononi.
Goli hilo pekee lilifungwa dakika ya 95 na Thaban Kamusoko.
Huu hapa msimamo mzimawa ligi kuu kwasasa.