BENTEKE SHUJAA LIVERPOOL IKIIBUKA NA USHINDI WA JIONI 'STADIUM OF LIGHT'
Majogoo wa Anfield Liverpool wakiwa ugenini katika dimba la 'Stadium of light' wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Sunderland.Mshambuliaji Christian Benteke ndiye aliyefunga bao hilo pekee lililoipa...
View ArticleARSENAL YAZIDI KUJIIMARISHA KILELENI, MAN U NAO WAFUFUKA
Wayne Rooney amefungia Man Utd bao la ushindiArsenal wamefungua mwanya wa alama mbili kileleni mwa Ligi Kuu ya Uingereza baada ya kuandikisha ushindi dhidi ya Newcastle, Manchester United nao wakipanda...
View ArticleSAMATTA, AUBAMEYANG WACHEZAJI BORA AFRIKA
Pierre Emerick AubameyangMbwana Samatta akiwa na Pierre Emerick AubameyangMwanasoka raia wa Tanzania anayechezea TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mmbwana Ally Samatta amenyakua tuzo ya...
View ArticleWACHEZAJI WANAOUNDA KIKOSI BORA CHA MWAKA CHA AFRIKA HAWA HAPA
KIPA: Robert Muteba KIDIABA (DR Congo)MABEKI: Serge AURIER (Cote d’Ivoire), Aymen ABDENNOUR (Tunisia), Mohamed MEFTAH (Algeria)VIUNGO: Andre AYEW (Ghana), Yaya TOURE (Cote d’Ivoire), Sadio MANE...
View ArticleDakika 180 za vita Azam FC Ligi Kuu
KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imejiwekea malengo ya kupambana kuhakikisha inashinda mechi mbili zijazo za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya African Sports na Mgambo...
View ArticleTETESI ZA SOKA ULAYA JUMAPILI 10.01.2016
Mshambuliaji wa Everton Romelu Lukaku anataka kujiunga na Paris St-Germain au Real Madrid kuliko kwenda Manchester United (Sun), Barcelona wanamtaka kiungo wa Arsenal Aaron Ramsey na beki wa Everton...
View ArticleTETESI ZA SOKA ULAYA -JUMATATU 11.01.2016
Chelsea wametoa pauni milioni 30 kumtaka kiungo mshambuliaji wa Shakthtar Donetsk, Alex Teixeira, ambaye amepachika mabao 26 katika mechi 26 msimu huu (Star), Chelsea pia wanamtaka mshambuliaji wa AC...
View ArticleMESSI ATWAA Ballon d'Or KWA MARA YA TANO
Mshambuliaji wa Barcelona Lionel MESSI ametwaa tuzo ya MCHEZAJI BORA WA DUNIA -- Ballon d'Or kwa mwaka 2015 na kumfanya mchezaji huyo kuchukua tuzo hiyo kwa mara ya tano katika historia ya maisha yake...
View ArticleAUBEMAYANG AJIBU MAPIGO KWA YAYA TOURE
Mshambulizi wa Borussia Dortmund Pierre-Emerick Aubameyang amesikitishwa na kauli ya Yaya Toure baada ya kukosa tuzo ya mchezaji bora Afrika.Toure alidhani yeye ndiye angetangazwa mshindi wa tuzo hiyo...
View ArticlePICHA:AZAM WAKIJIFUA KWA AJILI YA MAANDALI YA PAMBANO LA VPL DHIDI YA AFRICAN...
Wachezaji wa timu ya Azam FC wakifanya mazoezi ya nguvu leo asubuhi kwenye Uwanja Azam Complex kujiandaa na mchezo dhidi ya African Sports utakaofanyika Jumamosi ijayo katika uwanja huo bora kabisa...
View ArticleMARCO VERRATTI NA KAULI YAKE JUU YA MKATABA MPYA WA ZLATAN PSG
Marco Verratti anaamini kwamba Paris Saint-Germain hawana tatizo juu ya kumuongeza mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic.Mkataba wa Zlatan unaisha mwishoni mwa...
View ArticleYANAYOJIRI DIRISHA DOGO LA USAJILI ULAYA JUMATANO 13.01.2016
Beki wa zamani wa Manchester United Nemanja Vidic ameondoka Inter Milanna anafikiria kujiunga na ligi ya Marekani MLS (Daily Mail), Manchester United sasa wanamfuatilia kiungo wa Valencia Andre Gomes...
View ArticleVAN GAAL AWATUPIA LAWAMA WACHEZAJI WAKE
Meneja wa Manchester United, Louis van Gaal amesema kikosi chake kilikua na nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi mnono, tofauti na sare ya mabao matatu kwa matatu waliyoiambulia usiku wa kuamkia hii leo...
View ArticleSAMATTA APEWA ZAWADI YA MAANA NA SERIKALI
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi (kushoto) akithibitisha serikali kumzawadia Samatta fedha na kiwanja maeneo ya KigamboniKwa kuthamini tuzo aliyotwaa nahodha wa timu taifa...
View ArticleJE, HENRY JOSEPH ANA USHAURI GANI KWA SAMATTA WAKATI AKIELEKEA KUCHEZA SOKA...
Mchezaji wa muda mrefu wa timu ya taifa ya Tanzania na klabu ya Simba Henry Joseph Shindika ambaye kwa sasa anakipiga kwenye klabu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro, ametoa ushauri kwa nyota wa soka la...
View ArticleTFF KUANDAA HAFLA YA KUMPONGEZA SAMATTA
Kufuatia mchezaji Mbwana Samatta kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wa ndani, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) lilikuwa limeandaa shughuli maalum ya kumpongeza,...
View ArticleSTAND UNITED YAPIGWA RUNGU LA MAANA NA TFF
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imeipiga faini ya sh. 500,000 (laki tano) klabu ya Stand United baada ya timu yake kupata kadi zaidi ya tano kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya...
View ArticleKUHUSU KUTUMIA AMA KUTOTUMIA UWANJA WAO KWENYE MICHUANO YA KIMATAIFA, AZAM...
Uongozi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, umesema kuwa bado wataendelea kuutumia uwanja wao wa Azam Complex kwenye mechi za Kombe la Shirikisho Afrika mwaka huu.Kauli hiyo imekuja...
View ArticleMTIBWA SUGAR KUSUKA AMA KUNYOA MAPINDUZI CUP LEO
Timu ya soka ya Mtibwa Sugar usiku wa leo itashuka dimbani kuwania Kombe la Mapinduzi dhidi ya URA ya Uganda kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.Mtibwa Sugar imeingia Fainali baada ya kuwatoa waliokuwa...
View ArticleTETESI ZA SOKA ULAYA- ALHAMISI 14.01.2016
Meneja wa Manchester United Louis van Gaal, anakabiliwa na mtihani mgumu katika umeneja wake wakati atakapokutana na Liverpool siku ya Jumapili, huku uongozi wa klabu hiyo ukiwa na wasiwasi wa kutofuzu...
View Article