Quantcast
Channel: MPENJA SPORTS
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1447

BENTEKE SHUJAA LIVERPOOL IKIIBUKA NA USHINDI WA JIONI 'STADIUM OF LIGHT'

$
0
0
Majogoo wa Anfield Liverpool wakiwa ugenini katika dimba la 'Stadium of light' wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Sunderland.
Mshambuliaji Christian Benteke ndiye aliyefunga bao hilo pekee lililoipa timu yake ushindi na pointi tatu muhimu.
Kwa ushindi huo klabu ya Liverpool imejikita katika nafasi ya 7 wakiwa na alama 30 baada ya kucheza michezo 19 msimu huu.
Sunderland maarufu kama Paka Weusi wanasalia katika nafasi ya 19 wakiwa na alama 12 baada ya kucheza michezo 19.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1447

Trending Articles