Quantcast
Channel: MPENJA SPORTS
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1447

MESSI ATWAA Ballon d'Or KWA MARA YA TANO

$
0
0
Mshambuliaji wa Barcelona Lionel MESSI ametwaa tuzo ya MCHEZAJI BORA WA DUNIA -- Ballon d'Or kwa mwaka 2015 na kumfanya mchezaji huyo kuchukua tuzo hiyo kwa mara ya tano katika historia ya maisha yake ya soka.
Messi pia anakuwa mchezaji ambaye amechukua tuzo hiyo mara nyingi zaidi katika historia ya soka duniani
 Messi amepata 41.33%, akifuatiwa na Cristiano Ronaldo (27.76%) na Neymar (7.86%).
Carli Lloyd ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa kike
Timu bora ya mwaka FIFPro
Kipa: Manuel Neuer, 
Mabeki: Thiago Silva, Marcelo, Sergio Ramos, Dani Alves
Viungo: Andres Iniesta, Luka Modric, Paul Pogba, 
Washambuliaji: Neymar, Lionel Messi, Cristiano Ronaldo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1447

Trending Articles