HAYA NDIYO MAAMUZI YA CANNAVARO BAADA YA SAMMATA KUPEWA KITAMBAA CHA TIMU YA...
“NINAFIKIRI miaka 10 niliyoitumikia timu ya Taifa Stars inatosha kiukweli na huu ni muda wangu sahihi wa mimi kustaafu kuichezea timu hiyo.“Acha niwaachie vijana wengine wanaochipukia waje kuichezea...
View ArticleTETESI ZA SOKA ULAYA IJUMAA 15.01.2015
Baada ya kupewa adhabu na Fifa - Real Madrid wanapanga kutumia pauni milioni 250 katika dirisha la usajili la Januari,-- milioni 80 zikiwa za kumsajili Eden Hazard wa Chelsea, wanawataka pia kipa wa...
View ArticleCOURTOIS AWAONYA WACHEZAJI WENZAKE KUELEKEA PAMBANO DHIDI YA PSG
Thibaut Courtois amewaonya wachezaji wenzake wa Chelsea kumchunga sana mshambulizi wa Paris Saint-Germain Zlatan Ibrahimovic ili asilete madhara, kutokana na kuhofia kulipiza kisasi baada ya kupewa...
View ArticleKUMBE 'PENALTY ASSIST' YA MESSI KWA SUAREZ ILIKUWA YA NEYMAR!!!
Penati assist ya Lionel Messi kwa Luis Suarez kumbe ililenga kumfikia Neymar, hiyo ni kwa mujibu wa Neymar mwenyewe.'Ilkuwa kwa sababu yangu, tuliifanyia mazoezi sana!' alisema Neymar baada ya...
View ArticleDRFA YAIPONGEZA AFRICAN LYON KUREJEA LIGI KUU KWA KISHINDO MSIMU UJAO, 2016/17.
Chama cha soka mkoa wa Dar es salaam DRFA,kimeeleza kufurahishwa kwake na hatua iliyofikiwa na klabu ya African Lyon ya kurejea katika ligi kuu soka tanzania bara msimu wa mwaka 2016/2017,baada ya...
View ArticleMANULA ALIA NA WAAMUZI WA TANZANIA
Malinda mlango wa Azam FC Aishi Manula ameibuka na kuachia ujumbe mrefu ‘waraka’ kupitia account yake ya facebook baada ya jana kufungwa goli la aina yake dhidi ya Coastal Union kwenye uwanja wa...
View ArticleTFF YATOA NENO BAADA YA AFRICAN LYON KUPANDA LIGI KUU
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeipongeza timu ya African Lyon FC ya jijini Dar es salaam kwa kufanikiwa kupanda ligi kuu ya Vodacom (VPL) msimu ujao, baada ya kuwa vinara wa Kundi A...
View ArticleILE ISHU YA MWANDISHI KUPIGWA SHINYANGA, TFF YANENA HAYA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko taarifa ya kupigwa kwa mwandishi wa habari za michezo wa gazeti la Mwanaspoti nchini, Mwanahiba Richard na kiungo wa timu ya Simba...
View ArticleZLATAN AMEMKUMBUKA MOURINHO?ANAWEKA WAZI HAPA
Zlatan Ibrahimovic amekiri kwamba pambano la UEFA kati ya Paris Saint-Germain dhidi ya Chelsea halitanoga kutokana na kutokuwepo kwa Jose Mourinho katika benchi la Chelsea, na kumsisitiza kocha huyo...
View ArticleZIPO HAPA PEANATI KUMI BORA ZAIDI ULIMWENGUNI ZILIZOWAHI KUPIGWA KATIKA SOKA
1) The Somersault Penalty: Joonas Jokinen (FC Baar) v FC Sempach2) The ridiculous backheel penalty: Awana Diab (UAE) vs Lebanon3) The audacious “switch hit” penalty: Ezequiel Calvente (Spain U19) v...
View ArticleMWANAMAMA KUAMUA MECHI YA YANGA NA SIMBA
Mwamuzi mwanadada anayeongoza kwa kumwaga kadi, Jonesia Rukiyaa ndiye atakayechezesha mechi ya watani Yanga na Simba.Mwanadada huyo kutoka Kagera, mara ya mwisho alichezesha mechi ya watani katika...
View ArticlePSG VS CHELSEA: BATTLE TATU ZA MAANA ZITAKAZOAMUA MCHEZO HUU, HIZI HAPA
Chelsea wamesafiri kuelekea Ufaransa wakiwa tayari kuanza kampeni yao ya kufuzu hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya wapinzani wao Paris Saint Germain ambao msimu uliopita waliwatupa...
View ArticleDAVID LUIZ AWAPA NENO CHELSEA JUU YA MUSTAKABALI WA TERRY
David Luiz amewata Chelsea kuonesha heshima kwa Terry, akisisitiza kuwa suala hilo liko wazi kwa kila mtu kwamba mlinzi huyo anastahili mkataba mpya.Beki huyo wa kati ambaye ni 'icon' wa Chelsea...
View ArticleROONEY AMKINGIA KIFUA VAN GAAL
Wayne Rooney amewataka wachezaji wenzake wa Manchester United kujituma kwa bidii kupunguza presha inayomkabili kocha wao Louis van Gaal.Rooney, ambaye amerudi kwenye kiwango chake tangu kuanza kwa...
View ArticleVIINGILIO YANGA, SIMBA HIVI HAPA, MAJINA YA WAAMUZI YAPO HAPA PIA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo limetangaza viingilio vya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) Jumamosi kati ya watani wa jadi Simba SC dhidi ya Yanga SC utakaochezwa Uwanja wa Taifa...
View ArticlePSG WACHEKA NYUMBANI, WAIBUGIZA CHELSEA 2-1 PARC DES PRINCES
Paris Saint Germain wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Chelsea katika pambano la Klabu Bingwa Ulaya hatua ya 16 bora lililopigwa kwenye dimba la Parc des Princes jijini Paris...
View ArticleIMEKUWA NI ZALI TU SIMBA KUWA NAO WACHEZAJI HAWA DHIDI YA YANGA JUMAMOSI,...
Wachezaji sita wa Simba, walicheza wakiwa na kadi mbili za njano katika mechi dhidi ya Stand.Katika mechi hiyo ambayo Simba ilishinda kwa mabao 2-1, nyota Hamisi Kiiza na Ibrahim Ajib nao walikuwa na...
View ArticleHUU NDIYO MUSTABALI WA CANAVARO MECHI YA JUMAMOSI KWA MUJIBU WA PLUIJM
Bosi wa benchi la ufundi la Yanga, Hans van Der Pluijm, amegoma kuzungumzia nafasi ya beki na nahodha wa kikosi hicho, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ ndani ya kikosi chake cha kwanza baada ya beki huyo...
View Article