WALE WA ARSENAL STORI MPYA YA JACK WILSHERE HII HAPA...
Meneja wa Arsenal, Mfaransa Arsene Wenger amesema kuwa kiungo wa klabu yake Jack Wilshere anatarajiwa kurejea tena dimbani wiki mbili zijazo baada ya kupata maumivu ya kifundo cha mguu.Wilshere mwenye...
View ArticleDE GEA AUFUNGUKIA UONGOZI WA MAN UNITED
Mlinda mlango wa Manchester United David De Gea ameuambia uongozi wa klabu yake kuwa ''hakutaka kucheza'' kabla ya kuachwa nje kwenye mchezo wa ufunguzi wa msimu mpya.Meneja Louis van Gaal hatamtumia...
View ArticleDUUH! LIFAHAMU TUSI LA MOURINHO ALILOMTUKANA DAKTARI WA CHELSEA....
Meneja wa Chelsea ,Jose Mourinho alimtukana tusi kubwa Daktari wa klabu hiyo, Eva Carneiro.Video iliochiwa na Sky Sports imeonesha Mourinho alivyomchukia na kumtukana Eva kwa maneno ya kireno ‘filho da...
View ArticleUSICHANGANYE MUDA WA MECHI YA ASTON VILLA vs MAN UNITED LEO, NIMEKUWEKEA...
Ligi kuu England inaendelea leo kwa mechi moja kati ya Aston Villa na Manchester United.Mchezo huu utaanza saa 3:45 usiku kwa saa za Afrika mashariki.VIKOSI VINAVYOTARAJIWAMSIMAMO MPAKA SASA EPL
View ArticleMSIKIE VIZURI EVANS AVEVA AKITOA MAJIBU SUALA LA IVO NA MAGURI....
Rais wa Simba SC Evans AvevaHatma ya Elius Maguri na Ivo Mapunda bado haijajulikana ndani ya klabu ya Simba, huku kila mchezaji akiwa na mazingira tofauti ya ama kuendelea kusalia kwenye klabu hiyo au...
View ArticleVAN GAAL AMESEMA SABABU HIZI HAPA KWA NINI DE GEA HACHEZI KWA SASA
David de Gea, ambaye anawindwa vikali na klabu ya Real Madrid anaonekana kuwa katika hatua za mwisho kujiunga na miamba hiyo ya Uhispania, baada ya kocha wake Louis Van Gaal kufichua kuwa mlinda mlango...
View ArticleSHAQIRI ARUDISHA MAPIGO STEFAN EFFENBERG
Xherdan Shaqiri amejibu mapigo kwa Stefan Effenberg baada ya mchezaji huyo wa zamani wa Ujerumani kudai kuwa winga huyo ameshauriwa vibaya kujiunga na Stoke City.Shaqiri mwenye asili ya Switzerland,...
View ArticleYANGA YAZUA HOFU SIMBA
YANGA imeanza kuzua hofu kwa wapinzani wao katika kinyang’anyiro cha Ligi Kuu Tanzania Bara, ikiwamo Simba kutokana na mambo kadha wa kadha zaidi ikiwa ni ubora wa kikosi chao kilichosheheni wachezaji...
View ArticleMOURINHO AZIDI KUKOSOLEWA JUU YA MAAMUZI YAKE DHDI YA IDARA YA TIBA
Eva Carneiro akirushiana maneno na kocha wa Chelsea Jose Mourinho.Peter Brukner ni mkuu wa kitengo cha tiba katika klabu ya Liverpool ambapo kwa sasa ni daktari wa timu ya kiriketi ya...
View Article“MESSI PEKE YAKE NDIO NAWEZA KUMRUHUSU KUCHEZA BILA MAELEKEZO YANGU..WENGINE...
"Mwaka huu kila mtu atakuwa anakimbia uwanjani vile mimi ninavyotaka, nitasema jinsi ninavyotaka vitu viende na wanatakiwa kusikiliza. Mchezaji pekee duniani ambae anaweza kucheza vile anavyotaka bila...
View ArticleLUIS VAN GAAL KAULIZWA KUHUSU PEDRO….AMEJIBU HIVI
Mkataba wa Pedro una kipengele cha paundi milioni 22 kama anataka kuhama kwenda klabu nyingine. Sasa hivi mashabiki wa Manchester wanaulizia kuhusu Pedro ambae kwa asilimia kubwa anahusishwa kuhamia...
View ArticleMOURINHO:DAKTARI'MJINGA' HATAKUWEPO UWANJANI
Dakta Eva Carneiro amehudumu Stamford bridge kwa miaka 5 sasaBBC SWAHILI wameripoti kwamba Meneja wa Chelsea, Jose Mourinho amesimamia msimamo wake dhidi ya kitengo cha utabibu cha timu yake.Mourinho...
View ArticleKIKOSI CHA MANCHESTER UNITED KINACHOANZA USIKU HUU DHIDI YA ASTON VILLA HIKI...
Saa tatu dakika 45 usiku huu, Manchester United wanakipiga ugenini dhidi ya Aston Villa katika mechi pekee ya ligi kuu England inayoendelea leo.
View ArticleTETESI ZA SOKA ULAYA IJUMAA 14.08.2015
Mshambuliaji wa Liverpool Mario Balotelli, 25, atakataa kujiunga na Lazio au Sampdoria kwa mkopo kwa sababu atalipwa fedha nyingi tu za 'uzalendo' kama bado atakuwepo Anfield dirisha la uhamisho...
View ArticleUNAIKUMBUKA ILE RUVU SHOOTING YA MASAU BWIRE?
Kesho Jumamosi katika uwanja wa Mabatini , klabu ya Ruvu Shooting itachuana na Mtibwa Sugar katika mechi ya kirafiki.Msemaji machachari wa Shooting, Masau Bwire amesema watatumia mchezo huo kunoa...
View ArticleMANCHESTER UNITED MWENDO WA CHINJA CHINJA, HIZI NI TAKWIMU ZA MTANANGE...
Mashetani Wekundu, Manchester United wamepata ushindi wa pili mfululizo katika mechi mbili walizocheza za ligi kuu England.Man United walioanza ligi kwa kuifunga 1-0 Tottenhma mwishoni mwa Juma...
View ArticleUFUNGUZI BUNDESLIGA: BAYERN YAMDUNDA MTU MKONO, NIMEKUWEKEA TAKWIMU
Mabingwa wa kandanda nchini Ujerumani, Bayern Munich wameanza kwa kishindo ligi kuu ya Bundesliga baada ya kushinda magoli 5-0 dhidi ya Hamburg SV katika mechi ya ufunguzi iliyopigwa uwanja wa Allianz...
View ArticleKLABU ILIYOPANDA LIGI KUU YAMDONDOSHA KOCHA TOKA ULAYA
Uongozi, wanachama na mashabiki wa Jang’ombe Boys ambao wamepanda ligi kuu visiwani Zanzibar kwa msimu wa 2015-2016 leo Jumamosi wanatarajia kumpokea kocha wao kutoka Uturuki ambaye anatarajiwa kutua...
View ArticleHII NDIO TIMU ILIYOMDAKA KASEJA, ILA YEYE ANAFICHA….
Mlinda mlango mkongwe nchini Juma Kaseja amesema kumekuwa na timu nyingi ambazo zimekuwa zikitaka kumsajili baada ya kupata ruhusa rasmi kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kujiunga na...
View ArticleWAKIONGOZWA NA LIONEL MESSI, BARCELONA WALA KICHAPO CHA 'MBWA MWIZI'
Mabingwa wa Ulaya, FC Barcelona wamepoteza kwa kipigo kikali mechi ya kwanza ya Spanish Super Cup dhidi ya Athletico Bilbao.Wakiongozwa na mchawi wao, Lionel Messi, Barca wamedundwa 4-0.Aritz Aduriz...
View Article