BAADA YA USHINDI WA STARS WA GOLI 1-0 DHIDI YA CHAD, KAZIMOTO ATOA NENO
Kiungo wa wekundu wa Msimbazi na timu ya taifa ya Tanzania Mwinyi Kazimoto, yeye furaha yake ya ushindi ameionesha kwenye kupitia account yake ya facebook mbapo ameanfika ujumbe wenye kauli ya Waziri...
View ArticleSPAIN CHUPUCHUPU KWA ITALY, MATOKEO YOTE YA MICHEZO YA KIRAFIKI ILIYOPIGWA...
Usiku wa kuamkia leo kumechezwa michezo ya kirafiki ya kimataifa ikiwa ni michezo ya kujiandaa na michuano ya kombe la ulaya.Mabingwa wa kombe la dunia mwaka 2010 Hispania walitosha nguvu na itali kwa...
View ArticleARGENTIN YALIPA KIKASI CHA COPA AMERICA DHIDI YA CHILE, YAIPIGA 2-1 KUFUZU...
Chile: Bravo 6, Isla 5.5, Medel 6.5, Jara 7, Mena 6.5, Diaz 6 (Rabello 21, 5.5, Pinilla 69, 6)), Gutierrez 8, M Fernandez (Silva 6, 7) Orellana 7.5, Alexis 7, Beausejour 7Kadi: Gutierrez.Goli:...
View ArticleXAVI ATOA VIGEZO VYAKE KWA NINI MESSI NI BORA KULIKO RONALDO
Nahodha wa zamani wa Barcelona Xavi Hernandez, amemuelezea Lionel Messi kama mchezaji bora kuliko Cristiano Ronaldo, na pia mwenye akili nyingi zaidi ya nyota huyo wa Madrid ambaye ni mpinzani wake...
View ArticlePLUIJM ALIA NA RATIBA VPL
KOCHA wa Yanga, Hans Pluijm amesema mchezo wao dhidi ya Al Ahly ya Misri utakuwa mgumu kutokana na ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuwabana, kiasi cha kukosa nafasi ya wachezaji wake kupata muda wa...
View ArticleAZAM YAIVURUGA VIBAYA FRIENDS RANGERS
KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, asubuhi ya leo imeichapa Friends Rangers mabao 7-1 katika mchezo wa kirafiki wa mazoezi uliofanyika katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, jijini Dar...
View ArticlePLUIJM AILIA 'TIMING' AL AHLY
KOCHA wa Yanga, Hans van der Pluijm kwa sasa hataki kubughudhiwa kwa sababu yuko bize akifukunyua na kuzisoma mbinu za wapinzani wake Al Ahly kuelekea katika mchezo wa kwanza wa 16 bora ya Ligi ya...
View ArticleRATIBA YA KOMBE LA FA YAPANGULIWA
Kwa mujibu wa marekebisho ya ratiba ya Vpl yaliyofanywa na bodi ya ligi: Aprili 6 uwanja wa Taifa ni Yanga vs Mtibwa, ligi kuu. Pia ratiba ya Azam Sports Federation Cup inaonesha Aprili 6 ni Simba vs...
View ArticleSTARS YAPIGA IZI LEO, YONDANI, KAZIMOTO WASHUHUDIA JUKWAANI
Kikosi cha Taifa Stars kimefanya mazoezi kwa mara ya kwanza leo jioni tangu watue kutoka Chad walipopata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji Chad.Hata hivyo, wachezaji wawili, mlinzi tegemeo, Kelvin...
View ArticleMAGURI TAYARI AMECHOSHWA NA STAND UNITED, HAYA NDIO MAAMUZI YAKE
Mshambuliaji Elias Maguri amebakiza miezi miwili tu katika mkataba wake na Stand United, amesema hana mpango wa kubaki kutokana na jinsi mambo yanavyokwenda.Hadi sasa Maguri ana mabao 10 katika Ligi...
View ArticleTAMBWE HANA HOFU KABISA NA AL AHLY
Straika Amissi Tambwe amesema haina haja ya mashabiki wa Yanga kuihofia Al Ahly kwani wana uwezo na wamepania kuifunga timu hiyo ya Misri kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga itaikaribisha Al...
View ArticleNIGERIA NA MISRI NUSURA ILETE MAAFA, WATAZAMAJI WAFURIKA ZAIDI YA UWEZO WA...
Nigeria na Misri walikuwa na shughuli pevu jana katika mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya Mataifa ya Afrika (Afcon), mchezo uliofanyika katika uwanja wa Ahmadu Bello uliopo mjini Kaduna na kuisha kwa...
View ArticleUKITAKA KUIONA STARS NA CHAD BASI MKONONI UWE NA KIASI HIKI
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa Jumatatu kati ya Tanzania dhidi ya Chad utakaochezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Kiingilio cha chini...
View ArticleUJERUMANI YAKUBALI KULALA 3-2 KWA UINGEREZA
Striker wa Leister City aliingia uwanjani zikiwa zimesalia dakika 20 game kumalizika wakati huo England ikiwa nyuma kwa goli 2-1 dhidi ya Ujerumani, ndani ya dakika tano Vardy akawanyanyua mashabiki...
View ArticleJAN HUNTELAAR AMVNJA PUA KIPA WAKE MAZOEZINI (VIDEO)
Mshambuliaji wa Uholanzi Klaas-Jan Huntelaar amevunja pua ya kipa wa Uholanzi Jasper Cillessen wkati wakiwa mazoezini.Hali hiyo ilikuja wakati Huntelaar akiwa anaambaa na mpira kwenda kufuga na wakat...
View ArticleAZAM WAWEKA MIKONO CHINI KWA TFF, BODI YA LIGI
Uongozi wa klabu ya Azam FC umeliomba Shirikisho la Soka Tanzania (TFF )kuahirisha baadhi ya michezo yake ili ipate muda wa kuiandaa timu yao kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho la Soka Afrika...
View ArticleKIHWELO AZITAKA YANGA, SIMBA NA AZAM NUSU FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION
Kocha wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amesema anataka kukutana na kati ya timu tatu za Yanga, Simba au Azam FC, katika nusu fainali ya Kombe la FA kwa kuwa anajua ni nyepesi sanaaa.Julio alisema...
View ArticleVIDEO: GIROUD AMPIGA BONGE LA TOBO BEKI WA UHOLANZI
Olivier Giroud pengine hayuko kwenye kiwango kizuri kwa sasa kwenye klabu yake ya Arsenal, lakini alikuwa kwenye kiwango cha aina yake wakati akiichezea timu yake ya Taifa ya Ufaransa dhidi ya Uholanzi...
View Article