ALICHOJIBU LUKAKU BAADA YA KUULIZWA ENDAPO ATAKUWA TAYARI KUCHEZA TENA CHINI...
Romelu Lukaku amesema hana tatizo lolote ikiwa atapata nafasi nyingine ya kuwa chini ya kocha ya Jose Mourinho ambaye hapo awali walikuwa wote kunako klabu ya Chelsea.Mshambuliaji huyo raia wa Ubelgiji...
View ArticleKIFO CHA DHAIRA CHAMGUSA MUSEVENI NA KUAMUA KUCHUKUA HATUA HII
Anamaanisha hivi: "Nimepokea kwa masikitiko makubwa sana taarifa za kifo cha kipa wa timu yetu ya taifa ya Uganda Cranes Abel Dhaira kilichotokea nchini Iceland kutokana na ugonjwa wa kansa. Ni...
View ArticleTAMBWE MFUNIKA MGABON WA AL AHLY
MSHAMBULIAJI hatari wa Al Ahly ya Misri inayotarajiwa kuvaana na Yanga katika mchezo wa raundi ya 16 ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Malick Evouna, rekodi yake ya kucheka na nyavu imezidiwa na ‘muuaji’ wa...
View ArticleYANGA WAKIWA MAKINI NA DAKIKA HIZI TU BASI AL AHLY KWISHA KABISA
YANGA washindwe wenyewe kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, baada ya siri zote kuhusiana na ubora na udhaifu wa wapinzani wao wa raundi ya 16, Al Ahly kuwa hadharani ikiwamo dakika...
View ArticleARDA TURAN ARUSHA DONGO KWA ARSENAL
Arda Turan ametanabaisha kuwa, kuchezea klabu kama Barcelona ni zawadi kubwa iliyotokana na uwezo wake uwanjani na kufiti na staili ya uchezaji wa timu hiyo, ama vinginevyo angekuwa akicheza klabu kama...
View ArticleAZAM ACADEMY USO KWA USO NA SERENGETI BOYS ALHAMISI
KIKOSI cha vijana cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC ‘Azam Academy’ inatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ‘Serengeti Boys’...
View ArticleHAWA NDIYO MABEKI WATATU WANAOMSUMBUA ZAIDI SUAREZ
Luis Suarez amewataja Sergio Ramos, Thiago Silva na Diego Godin kama mabeki watatu ambao humpa wakati mgumu sana pindi anapocheza nao.Suarez amewataja mabeki hao kutokana na kukumbana nao katika...
View Article