KAULI YA HALL BAADA YA AZAM KUPANGIWA NA WAARABU
KOCHA Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Stewart Hall, amesema kuwa wanafuraha kukutana na Esperance ya Tunisia moja ya timu kubwa barani Afrika, kwenye raundi ya pili ya Kombe...
View ArticleKIPRE TCHECHE AWEKA REKODI MPYA AZAM MICHUANO YA CAF
STRAIKA hatari wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Kipre Tchetche, ameweka rekodi ya kufunga hat-trick ya kwanza kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) mwaka huu baada ya...
View ArticleTETESI:NYOTA HUYU WA ARSENAL KUONDOKA ENDAPO WENGER ATABAKI KLABUNI HAPO
Mesut Ozil anaweza kuondoka Arsenal mwishoni mwa msimu ikiwa Arsene Wenger ataendelea kubaki kukinoa kikosi hicho.Mchezaji huyo wa kimataifa raia wa Ujerumani amekuwa katika kiwango bora msimu huu...
View ArticleSTARS YAJIFUA D’JAMENA
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager leo imefanya mazoezi katika uwanja wa Omnisports Idriss Mahamat Ouya ulipo katika jiji la D’jamena ikiwa ni...
View ArticleRAIS ZFA KUIONGOZA STARS CHAD
Rais wa Chama cha Soka Zanzibar (ZFA), Ravia Idarus Faina ndiye mkuu wa msafara wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, anatarajiwa kuondoka Dar es salaam kesho Jumanne alfajiri pamoja na wachezaji...
View ArticleKOCHA BIDVEST AIKUBALI AZAM LAKINI AIPA ONYO HILI
AZAM sasa inapiga akili ndefu kujiuliza ifanye vipi kutoka kwa Esperance ya Tunisia, lakini Kocha Mkuu wa Bidvest Wits, Gasvin Hunt amefichua siri moja ya kutolewa kwao, huku akiwapa ushauri wa bure...
View ArticleWENGER KOCHA ALIYEDUMU ARSENAL KWA MIEZI 233, ZIPO PIA TAKWIMU ZA MAKOCHA...
Kituo kinachojulikana kama International Centre for Sports Studies, au CIES kwa kifupi, kimetoa data za makocha mbalimbali kwenye ligi kubwa barani Ulaya ambao wamedumu kwa muda mrefu zaidi kwenye...
View ArticleAZAM VETERAN HAWATAKI MCHEZO
TIMU ya Azam Veteran jana ilizidi kujikita kileleni kwenye msimamo wa Ligi ya JMK Floodlight baada ya jana usiku kupewa ushindi wa mezani kufuatia wapinzani wao Copy Catz kuchomekea wachezaji wasiokuwa...
View ArticleAZAM WAPEWA MAPUMZIKO
KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, kimepewa mapumziko ya siku tatu tokea jana kufuatia ligi kusimama kupisha mechi za timu za Taifa za kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika...
View ArticleSTARS, CHAD USO KWA USO LEO ND'JAMENA KUWANIA KUFUZU AFCON
TIMU ya soka ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, leo inashuka Uwanja wa Ommisports Idriss Mahamat Ouya jijini ND’jamena kuwavaa wenyeji Chad katika mchezo wa kuwania fainali za Kombe la Mataifa ya...
View ArticleMAYANJA: TAMBWE?, HAPANA HAPA NI KIIZA TU UFUNGAJI BORA
Kocha wa Simba SC, Mganda, Jackson Mayanja, hataki kusikia suala la kwamba mshambuliaji wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe anatwaa kiatu cha ufungaji bora mbele ya straika wake, Mganda, Hamis...
View ArticleVITA YA UBINGWA VPL YAANZA KUMTIA WASIWASI MSUVA
Kiungo mwenye kasiwa Yanga, Simon Msuva, amefunguka kuwa ni ngumu kwao msimu huu kuweza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kutokana na kuwa na michezo mingi ya mikoani tofauti na wapinzani wao wanaongoza...
View ArticleKIKOSI CHA STARS KITAKACHOANZA DHIDI YA CHAD LEO HIKI HAPA
1. Aishi Manula2. Shomari Kapombe3. Haji Mwinyi4. Erasto Nyoni5. Kelvin Yondani6. Himid Mao7. Jonas Mkude8. Mwinyi Kazimoto9. Mbwana Samatta10. Thom Ulimwengu11. Farid MussaSub:Ally MustaphaMohammed...
View ArticleMAN UNITED YAPATA PIGO
Kiungo wa Manchester United Bastian Schweinsteiger, ameshindwa kufanya mazoezi na wenzake katika kikosi cha Ujerumani kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya goti. Nyota huyo wa zamani wa Bayern Munich...
View ArticleMANARA AWAKAANGA YANGA, AZAM KWA NAPE
Klabu ya Simba leo asubuhi kupitia msemaji wake Haji Manara imewasilisha barua rasmi ya kutoa malalamiko yake pamoja na kutoridhishwa na mwenendo mzima wa uendeshwaji wa ligi kuu katika ofisi za makao...
View ArticleTFF WATISHIWA NYAU, WAFANYA MAREKEBISHO YA RATIBA 'FASTA'
VODACOM PREMIER LEAGUE SCAN DOC..pdf by MahmoudRNtandu-Marekebisho ya ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom yamezingatia mechi za viporo za timu za Azam na Yanga zinazoshiriki mashindano ya kimataifa (Ligi ya...
View ArticleSAMATTA SHUJAA, STARS IKIITWANGA CHAD 1-0 N'DJAMENA
Mbwana Samatta akivaa kitambaa cha unahodha kwa mara ya kwanza, amekiongoza kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kupata ushindi wa goli 1-0 ugenini dhidi ya Chad kwenye mchezo wa Group G...
View Article