BANDA KUWAKOSA YANGA JUMAMOSI TAIFA
Mchezaji kiraka wa Simba, Abdi Banda hatakuwepo katika kikosi cha timu hiyo kitakachovaana na Yanga Jumamosi ya Wikiendi hii uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Banda ambaye anamudu nafasi zote za...
View ArticleMUONE MTU MZITO HAPA MWENYE KILO 95 AKIBADILISHANA JEZI NA WADOGO ZAKE
+7Zlatan Ibrahimovic akoindoka uwanjani na jezi mbili ambazo alibadilishana na Willian pamoja na Pedro Rodriguez baada ya mchezo wa jana. PSG ilishinda 2-1 dhidi ya Chelsea+7Ibrahimovic akibadilishana...
View ArticleRIO FERDINAND AMKOSOA RONALDO KWA KAULI YAKE
Rio Ferdinand amemjibu Cristiano Ronaldo baada ya kudai kwamba kuwa wakati wa kinyang'anyiro cha kuwania na hatimaye kuchukua UEFA mwaka 2008 hakuwa akiongea na mchezaji yeyote wa timu hiyo pindi...
View ArticleAZAM HAWANA PAPARA, WAWAANDALIA DAWA WAPINZANI WAO SHIRIKISHO TARATIIIBU!!
KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imezidi kujiandaa na kisayansi kuelekea mchezo wa raundi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika.Azam FC katika kujiandaa na michuano hiyo kisayansi,...
View ArticleVIDEO: MATUKIO YOTE YA NYUMA YA PAZIA TUKIO LA PENATI YA MESSI
Sasa ni dhahiri kwamba Neymar ndiye aliyepaswa kupiga pasi ya penati kutoka kwa Messi badala ya Luis Suarez katika mchezo dhidi ya Celta Vigo uliopigwa katika dimba Nou Camp.Pengine kitu...
View ArticleUAMUZI WA MATOKEO KUNDI C FDL SASA MIKONONI MWA KAMATI YA NIDHAMU
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi ya Ligi (Kamati ya Saa 72) imekutana jana (Februari 16, 2016) kupitia taarifa za mechi mbili za Kundi C la Ligi Daraja la Kwanza ya StarTimes kati ya JKT Kanembwa na...
View ArticleMBABE WA MATAIFA AFRIKA ARUDI MOROCCO
Kocha wa zamani wa Zambia na Ivory Coast Herve Renard, jana ametueliwa kuwa kocha wa timu ya taifa ya Morocco akichukua mikoba ya Badou Zaki.Renard (47) ambaye kwa nyakati tofauti alizipa ubingwa...
View ArticleROONEY PIGO KWA MAN UNITED, ENGLAND
Nahodha wa Man United, Wayne Rooney ameumia. Sasa atakuwa nje kwa mwezi mzima.Kuumia kwake ni hofu kwa Kocha Louis van Gaal wa Man United, pia Kocha Mkuu wa England, Roy Hodgson.Taarifa zinaeleza...
View ArticleROY KEANE ASEMA ANGEKUWA ANACHEZA NA HAZARD NINGEMFANYA HILI
Star wa zamani wa EPL Roy Keane ambae alipata mafanikio na club ya Manchester United, havutiwi kabisa na attitude ambayo Hazard anaionyesha ndani ya Chelsea.Hazard anahusishwa sana na habari za kuhama...
View ArticleMAYANJA AWAPA ONYO SIMBA JUU YA MSUVA
Kocha wa Simba, Jackson Mayanja, raia wa Uganda, amemtaja winga wa Yanga, Simon Msuva ndiye anayemhofia kuelekea katika mchezo huo.Kauli hiyo inaweza kuwashangaza wengi kwa kuwa Amissi Tambwe na Donald...
View ArticleHII SIO TAARIFA NJEMA HATA KIDOGO KWA WANAYANGA
Licha ya Kocha wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm kujaribu kumshawishi nahodha wake na beki tegemeo, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ kufanya mazoezi, mchakato huo umeonekana kuwa mgumu na kuna uwezekano...
View ArticleGARY NEVILLE MENO NJE, VALENCIA YAINYUKA RAPID VIENNA 6-1
Akiwa anatimiza miaka 41 ya kuzaliwa, kocha wa Valencia Gary Neville alishuhudia timu yake ikiitoa kipigo cha mbwa mwizi cha magoli 6-1 dhidi ya Rapid Vienna ya nchini Austria, katika kinyang'anyiro...
View ArticleBAADA KIPIGO CHA 2-1 KUTOKA KWA MIDTJYLLAND, HII NDIYO KAULI YA VAN GAAL KWA...
Louis van Gaal amekiri kwamba mashabiki wa Manchester United walikuwa sahihi kuwatolea lugha chafu baada ya kupokea kipigo cha magoli 2-1 kutoka kwa FC Midtjylland ya Denmark kwenye michuano ya EUROPA...
View ArticleMCHEZAJI HUYU WA ARSENAL MBIONI KUONDOKA MWISHONI MWA MSIMU HUU
Gazeti la Evening Standard la nchini Uingereza linaripoti kuwa mlinda mlango wa Arsenal David Ospina yupo tayari kuondoka klabuni.Ospina (27) amecheza michezo 4 tu msimu huu tangu baada ya nafasi yake...
View Article