

Akiwa anatimiza miaka 41 ya kuzaliwa, kocha wa Valencia Gary Neville alishuhudia timu yake ikiitoa kipigo cha mbwa mwizi cha magoli 6-1 dhidi ya Rapid Vienna ya nchini Austria, katika kinyang'anyiro cha EUROPA
VIELELEZO VYA MCHEZO
Valencia: Ryan, Cancelo, Santos, Vezo,Gaya, Parejo, Danilo, Gomes, Mina, Negredo (c), Piatti
Subs not used: Alcacer, Jaume, Rodrigo, Fuego, Barragan,Cheryshev, Zahibo
Goals: Mina 4,25, Parejo 10, Negredo, 29 Gomes, 35 Rodrigo, 89
Rapid Vienna: Strebinger, Pavelic, Sonnleitner, Hofmann, Stangl, Petsos, Schwab, Schobesberger, Hofmann (c), Kainz, Jelic
Subs not used:Grahovac, Nutz, Knoflach, Miranda, Murg, Alar,Wober