Quantcast
Channel: MPENJA SPORTS
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1447

MCHEZAJI HUYU WA ARSENAL MBIONI KUONDOKA MWISHONI MWA MSIMU HUU

$
0
0
Gazeti la Evening Standard la nchini Uingereza linaripoti kuwa mlinda mlango wa Arsenal David Ospina yupo tayari kuondoka klabuni.
Ospina (27) amecheza michezo 4 tu msimu huu tangu baada ya nafasi yake kuchukuliwa na Petr Cech aliyesajiliwa kutokea Chelsea, hivyo Mkolombia huyo ameondoa matumaini ya kupata nafasi kikosini hapo.
Ospina anweza kupata nafasi wikiendi hii pale ambapo Arsenal itapambana na Hull City katika michuano ya FA.
Klabu mbalimbali ikiwemo Nice ya nchini Ufaransa ambayo ndiko Mkolmbia huyo alipokuwa akicheza kabla ya kutua Arsenal zimetajwa kumwania.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1447

Trending Articles