Quantcast
Channel: MPENJA SPORTS
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1447

KUMBE 'PENALTY ASSIST' YA MESSI KWA SUAREZ ILIKUWA YA NEYMAR!!!

$
0
0
Lionel Messi tees up the ball from the penalty spot for the on-rushing Luis Suarez (right) on Sunday night
Penati assist ya Lionel Messi kwa Luis Suarez kumbe ililenga kumfikia Neymar, hiyo ni kwa mujibu wa Neymar mwenyewe.
'Ilkuwa kwa sababu yangu, tuliifanyia mazoezi sana!' alisema Neymar baada ya Barcelona kuibuka na ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya Celta Vigo.
'Messi na mimi tulifanyia kazi sana mazoezini lakini Luis alikuwa karibu zaidi na kufunga.
'Urafiki wetu ni kitu cha muhimu sana. Haijalishi nani anafunga magoli ili mradi tu tunashinda michezo yetu.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1447

Trending Articles