TFF YAVIPA WAKATI MGUMU VIGOGO VPL
KITENDO cha TFF, kurejesha michuano ya Kombe la FA inayotarajiwa kuanza mwezi ujao na kuacha nafasi moja ya uwakilishi wa michuano hiyo ya kimataifa kusalia kwa Bingwa wa Ligi Kuu Bara imeelezwa kuwa...
View Article26 BORA YA WACHEZAJI WENYE UZITO MKUBWA EPL HII HAPA
Martin Olsson (Norwich)Branslav Ivanovic (Chelsea)Lukaku (Everton)NB:BMI-Body Mass Index, vigezo vilivyotumika ni kuangalia ukubwa wa maumbo ya miili yaoWachezaji 26 wa EPL wenye uzito mkubwa...
View ArticleBusungu awanyooshea Mwantika, Mao
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Malimi Busungu, amesema beki wa Azam FC, David Mwantika na kiungo Himid Mao, wangemtoa roho kutokana na kumchezea rafu nyingi katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa...
View ArticleVIPO HAPA VIWANJA KUMI VYENYE MVUTO ZAIDI DUNIANI (PICHA)
10. Azteca Stadium, Mexico City, Mexico (watu 104,000)9. San Siro, Milan, Italy ( 80,000)8. The Maracana Stadium, Brazil (78,838)7. Santiago Bernabeu, Spain (85,000)6. Soccer City Stadium, South Africa...
View ArticleCANNAVARO:MKWASA, MWAMBUSI SAAFI
NAHODHA wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, amemchambua kocha mpya msaidizi wa timu hiyo, Juma Mwambusi na kumlinganisha na aliyekuwa kocha msaidizi wa klabu hiyo, Charles Boniface Mkwasa na kusema...
View ArticleHAMIS KIIZA 'DIEGO' MWEZI HUU HABARI NYINGINE...
Mshambuliaji wa timu ya Simba, Hamisi Kiiza ndiye mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Septemba.Kwa kuibuka mchezaji bora, Kiiza atazawadiwa sh. milioni moja kutoka kwa mdhamini wa Ligi hiyo,...
View ArticleKAMA HUJAPATA RATIBA YA VPL ...NIMEKUWEKEA HAPA..
Ligi kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) inatarajiwa kuendelea kesho Jumatano kwa michezo minne kuchezwa katika viwanja tofauti nchini, huku timu 8 zikisaka kupata pointi tatu muhimu.Uwanja wa Taifa jijini...
View ArticleRATIBA YA VPL YAPANGULIWA...SASA TIMU YAKO KUCHEZA SIKU HII...
Mechi za raundi ya 11 za Ligi Kuu ya Vodacom zilizokuwa zichezwe Novemba 7 na 8 mwaka huu sasa zitafanyika Desemba 12 na 13 kupisha maandalizi ya Taifa Stars ya mechi za mchujo za Kombe la Dunia.Taifa...
View ArticleRONALDO SASA KINARA KWA WANASOKA WANAOTAMBA MITANDAO YA KIJAMII
Staa wa Real Madrid Cristiano Ronaldo sasa rasmi amekuwa mcheza soka mwenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao wa Instagram baada ya kumzidi nyota wa Barcelona Neymar ambaye hapo awali ndiye alikuwa...
View ArticleWANANDINGWA WALIOWAHI KUCHEZA UEFA WAKIWA NA UMRI MKUBWA ZAIDI HAWA HAPA
Kwa sasa hawapo tena kwenye tasnia hii ya soka, lakini mchengo wao utabaki katika vitabu vya historia. Walijitahidi kadri walivyoweza kuhakikisha timu zao zinafurahia mafaniko iwe kwenye ligi za ndani...
View ArticleMZIKI WA YANGA UTAKAOWAVAA TOTO HUU HAPA
LIGI KUU || TZ BARA || 2015/2016.Yanga Afrika Vs Toto Afrika.1. Ali Mustafa Mtinge 'Barthez'2. Juma Abdul Jaffary3. Haji Mwinyi Ngwali Makame4. Kelvin Patrick Yondani 'Vidic'5. Vicente Bossou6. Thabani...
View Article'KIMENUKA' KWA WAGOSI WA KAYA, MAYANJA HANA UGALI TENA....
KIKAO cha Kamati ya Utendaji ya Klabu ya Coastal Union kilichoketi juzi kwa saa tatu kilitoka na mapendekezo wa kuachana na aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo,Jackson Mayanja kutokana na kutokuwepo kwa...
View ArticleMAMBO YA YANGA RAHA TU.....
Simon Msuva (kulia) akipongezwa na wachezaji wenzake Donald Ngoma (kushoto) na Amis Tambwe (katikati)Baad ya kulazimishwa sare ya kufungana kwa goli 1-1 na Azam FC, Yanga wameendeleza wimbi lao la...
View ArticleRAHA YA SIMBA MKOANI MBEYA YAINGIA SHUBIRI
Mlinzi wa kushoto wa Simba Mohamed Hussein (kulia) akijaribu kumkabili mchezaji wa Tanzania PrisonsBaada ya kuifunga timu ya Mbeya City, Wekundu wa Msimbazi wameshindwa kutamba leo kwenye uwanja wa...
View ArticleWATANO SIMBA KITIMOTO
Jonas Mkude LICHA ya kushinda bao 1-0 na kuvunja rekodi ya kutowahi kuifunga Mbeya City tena ikiwa kwenye uwanja wake wa nyumbani, bado Simba haijaridhika na matokeo hayo, badala yake imeamua kuwaweka...
View ArticleMADRID WAKUMBWA NA KASHFA YA RUSHWA
Polisi nchini Hispania wanafanya uchunguzi juu ya madai ya mwamuzi msaidizi ambaye inasemekana anapewa msukumo ili aipendelee Real Madrid katika mchezo wa El-Clasico dhidi ya Barcelona utakaopigwa...
View ArticleYANGA YAMFUKUZISHA KOCHA KAZI
KIPIGO cha mabao 4-1 walichokipata timu ya Toto African ya Mwanza kutoka kwa Yanga kimemfanya kocha mzungu wa timu hiyo, Martin Grelics kujiuzulu wadhifa wake.Toto waliokutana na Yanga wiki iliyopita...
View ArticleHANS POPPE AFUNGUKA KUHUSU ‘HIRIZI’ YA PAPE N’DAW
Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba Zacharia Hans Poppe ameamua kufunguka juu ya mchezaji raia wa Senegal, Pape Abdoulaye N’daw ambaye amekuwa na vituko katika siku za hivi karibuni, miongoni mwa...
View Article