ISSA HAYATOU ATAONGOZA KWA SIKU 90 TU, LAKINI MIPANGO YAKE USIPIME...
Rais wa shirikisho la soka barani Afrika,CAF, Issa Hayatou kutoka Cameroon amepewa jukumu la kuongoza kwa muda shirikisho la soka duniani FIFA.Hayatou atachukua usukani kufuatia kusimamishwa kazi kwa...
View ArticleSIO BLATTER TU, CHEKI BALAA LILILOWAKUMBA MAAFISA WA FIFA
Pichani chini ni 'balaa' lililowakumba viongozi wa FIFA
View ArticleHALINA MJADALA TENA, LAZIMA LIONEL MESSI NA BABA YAKE WASHTAKIWE...
Baba yake Lionel Messi, JorgeJaji mmoja nchini Uhispania ameagiza kwamba nyota wa timu ya Barcelona na Argentina Lionel Messi, ni sharti ashtakiwe kwa mashtaka ya kuibia mamlaka ya ushuru zaidi ya dola...
View ArticleCHEKI KIFAA MAALUM ANACHOTUMIA MESSI ILI AWAHI KUREJE DIMBANI...
Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi sasa anatumia kifaa maalum ili kupunguza ukali wa maumivu yake ili aweze kurejea nyumbani mapema zaidi.Messi anatakiwa kurejea uwanjani baada ya wiki nane,...
View ArticleHILI LIMETOKEA JANA HUKO LIVERPOOL...KAMA ULILALA HUJACHELEWA....
Jurgen Klopp amesaini kandarasi ya miaka mitatu usiku wa jana kuwa kocha mkuu wa klabu ya Liverpool na amepewa jukumu la kurejesha makali ya majogoo wa jiji katika michuano mikubwa ya Ulaya.Klopp...
View ArticleMANENO YA MABOSI BAADA YA TFF KUSAINI MKATABA NA STAR TV WA KUONESHA FDL
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) jana limeingia mkataba wa miaka mitatu wenye thamani ya shilingi milioni mia nne hamsini (450,000,000), na kituo cha luninga cha Star Tv kurusha matangazo ya...
View ArticleWANANDINGA 10 WANAOONGOZA KWA MKWANJA ULIMWENGUNI HAWA HAPA
Wote kwa pamoja Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ni miongoni mwa wachezaji wanaounda kumi bora ya wachezaji wanolipwa vizuri zaidi ulimwenguni.Jarida la Forbes lilitoa orodha ya mwaka ya wacheza soka...
View ArticleSIMBA YAMTUNUKU MWAMBUSI
Kocha wa Mbeya City, Juma Mwambusi. YANGA inasaka Kocha Msaidizi ambaye ni kiboko ya Simba atakayekuwa mkali zaidi ya Boniface Mkwassa aliyepata ajira ya kuifundisha Taifa Stars.Ni kwamba muda wowote...
View ArticleWANASOKA WATANO MAARUFU AMBAO POMBO ILIUA KABISA VIPAJI VYAO VYA SOKA
Mchezaji huyu wa zamani wa Manchester United star hahitaji utambulisho mkubwa kutokana na kile alichokifanya akiwa na klabu ya Mashetani Wekundu. Ameshinda Kolbe la Ulaya (kwa sasa Ligi ya Mabingwa...
View ArticleWENGER NA MOURINHO HAWAPATANI?, KWA NINI?CECH ANA JIBU HILI HAPA
Mlinda lango wa Arsenal Petr Cech, amesema kuwa kocha wake Arsene Wenger na hasimu wake Jose Mourinho mara zote wamekuwa wakiingia katika migongano kutokana na na wote kuwa na hulka zinazofanana.Wenger...
View ArticleBAADA YA KUACHIA MIKOBA YANGA, HII NDIO KAULI YA MKWASA KWAO
Kocha wa Taifa Stars , Boniface Mkwasa SIKU chache tu tangu apewe kibarua cha muda mrefu cha kuinoa Taifa Stars, Kocha Boniface Mkwasa, ameikumbuka klabu yake ya zamani, Yanga, akisema kuwa hataisahau...
View ArticleWAKALI WATATU AMBAO MESSI NA RONALDO WASIPOKUWA MAKINI TU, BASI REKODI ZAO...
Najua ni jinsi gani nama kulivyo na ugumu kuanzisha majadiliano haya, ukizingatia kwamba mastaa hawa wawili bado wana njaa ya mafanikio, lakini ishara zinaweza kuonekana japo kwa mbali, hivyo basi...
View ArticleJULIO ABWATA KUHUSISHWA NA YANGA
KOCHA maarufu nchini, Jamhuri Kihwelu ‘Julio’, amesema kamwe hawezi kuhusishwa na mpango wa kuifundisha Yanga kutokana na imani potofu iliyojengeka miongoni mwa wapenzi wa klabu hiyo na hata wale wa...
View ArticleMWAMBUSI BADO MAMBO MAGUMU YANGA
WAKATI kukiwa na tetesi za Kocha Mkuu wa Mbeya City, Juma Mwambusi kutua Yanga, imeelezwa kuwa mtaalamu huyo ametoa masharti mazito kwa uongozi wa timu hiyo ya Jangwani.Mwambusi anaonekana kupewa...
View ArticleTAARIFA RASMI KUTOKA KLABU YA MBEYA CITY KUHUSU MWAMBUSI
Aliyekuwa kocha wa Mbeya City fc, Juma MwambusiLeo tarehe 10/10/2015 saa 8:15 mchana Kocha Mkuu wa Mbeya City Fc, Juma Mwambusi, alikutana kwa dharula na mtendaji Mkuu wa klabu (Katibu Mkuu) kwa...
View ArticleSTARS HIYOO RAUNNDI YA PILI, YAFUNGWA LAKINI YAFUZU
Pamoja na kufungwa bao 1-0 na Malawi, timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeafanikiwa kufuzu raundi ya pili ya michuano ya kufuzu kombe la dunia, mchezo uliopigwa katika dimba la uwanja wa...
View ArticleKAULI YA FERGUSON JUU YA MUSTAKABALI WA ARSENAL BAADA YA ARSENE WENGER
Licha ya uhasimu wao mkubwa enzi zake akiwa kocha wa Manchester United, Sir Alex Ferguson amempongeza Arsene Wenger kwa kuendelea kubaki kuwa meneja wa Arsenal kwa kipindi kirefu.Wenger ambaye siku za...
View ArticleSAMATTA, ULIMWENGU WAOMBA BENDERA YA TAIFA
Umewahi kuwaona wachezaji wa mataifa mbalimbali duniani wakijifunika bendera za nchi zao baada ya kutwaa ubingwa fulani wakiwa na klabu wanazochezea ugenini? Ndicho anachotaka kufanya Mbwana Samatta...
View ArticleALLARDYCE AWANANGA WENGER, BENITEZ
Sam Allardyce na Arsene Wenger wakisalimiana katika moja ya matukio ya mechi walizowahi kukutana.Sam Allardyce amekiri kuwa alikuwa akifurahi sana pale ambapo alipokuwa akimfunga Arsene Wenger ambaye...
View Article