Quantcast
Channel: MPENJA SPORTS
Browsing all 1447 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UCHAMBUZIO MFUPI BAADA YA MAN U KUGEUZWA MTEJA NA SWANSEA MSMI WA PILI MFULULIZO

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam,Kama mshabiki wa Manchester United nimechukizwa sana na kipigo cha 2-1 kutoka kwa Swansea. Mambo mengi yamenikera, namna Batefimbi Gomes alivyofunga goli lake la 9...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

STARS YAMALIZA KAMBI UTURUKI

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro chini ya Kocha wake Mkuu Charles Boniface Mkwasa imefanya mazoezi yake ya mwisho leo asubuhi katika viwanja vya hoteli ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DE GEA SASA NI SUALA LA MASAA TU KWENDA MADRID

Mwisho wa picha: De Gea yuko njiani kuelekea Real.Televisheni ya TVE ya nchini Uhispania inaripoti kuwa Real Madrid wamekubali kutoa kitita cha pauni milioni 25 ili kuinasa saini ya kipa wa Manchester...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUU NDIO UZI MPYA WA YANGA MSIMU WA 2015/16

 Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) leo imekabidhi rasmi jezi mpya na vifaa mbalimbali kwa timu kongwe nchini Simba na Yanga kwa ajili ya msimu huu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL). Meneja Masoko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BIA YA KILIMANJARO YAZIPAMBA SIMBA, YANGA

 Na Bertha Lumala, Dar es SalaamWADHAMINI wakuu wa klabu kongwe nchini, Bia ya Kilimanjaro, leo 'wamezipamba maua' baada ya kuzikabidhi jezi na vifaa vingine vipya vyenye thamani ya Sh. milioni 70 kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMA UNADHANI YANGA YA KUUNGAUNGA MSIKIE BABU PLUIJM

Kocha Mkuu wa mabingwa wa kandanda Tanzania bara, Dar es salaam Young Africans, Mholanzi, Hans van der Pluijm amesema ana imani kubwa na kikosi chake na anaona kina nafasi ya kufanya vyema katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANENO 6 YA ADNAN JANUZAJ BAADA YA KUSAINI BORUSSIA DORTMUND

Adnan Januzaj amekamilisha uhamisho wa kujiunga na  Borussia Dortmund kwa mkopo wa muda mrefu akitokea Manchester United.Dortmund imeipiku Valencia ambayo ilikuwa inamuwinda nyota huyo wa kimataifa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUALA LA ARSENAL KUTOFANYA UASJILI WA NGUVU MAJIRA HAYA:HENRY ANG'ATA NA...

 Henry amemkingia kifua Arsene Wenger.Thierry Henry amemkingia kifua kocha wake wa zamani Arsene Wenger, na kusisitiza kuwa Arsenal wana kikosi ambacho kina uwezo wa kushinda taji la ligi kuu nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMA HUKUIPATA KAULI YA VODACOM NA TPLB WAKATI WA KUKABIDHI VIFAA KWA TIMU 16...

Na Bertha Lumala, Dar es SalamMDHAMINI Mkuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania, jana imezing'arisha timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo msimu huu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

OFFICIAL: SASA SUPER EAGLES KUTUA DAR MUDA HUU...

Timu ya Taifa ya Nigeria (Super Eagles) inatarajiwa kuwasili leo saa nne usiku kwenye uwanja wa JK Nyerere jijini Dar es salaam kwa usafiri wa ndege binafsi tayari kwa mchezo wa kuwania kufuzu AFCON...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA KUKAMILISHA USAJILI, HII NDIO SIMBA MPYA 2015/2016

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Mshambulizi raia wa Senegal, Pape N'daw amekamilisha usajili wa Simba SC kuelekea msimu mpya wa ligi kuu Tanzania Bara na michuano ya kombe la FA. Simba inayotarajia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ENYEAMA AWAKACHA AKINA SAMATTA, BOCCO...

Nahodha wa timu ya taifa ya Nigeria, Super Eagles, Vincent Enyeama ameomba kujindoa katika mechi ya Jumamosi dhidi ya Tanzania.Enyeama ambaye ni kipa namba moja na tegemeo la Super Eagles ameomba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LICHA YA KUANZA KUBOMOKA, HIKI NDICHO KIKOSI ALICHOITA KOCHA WA NIGERIA

Tayari nahodha Vicent Enyeama ameomba kujitoa kwenye kikosi cha Nigeria ‘Super Eagles’ kitachocheza na Taifa Stars Septemba 5, yaani Jumamosi.Kuanza kubomoka kwa kikosi hicho kunatokana na kuitwa kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KLABU UINGEREZA ZAANDIKA REKODI MPYA YA USAJILI.....

Anthony Martial mchezaji mpya wa Manchester UnitedKlabu nchini Uingereza, vilivunja rekodi ya kutumia pesa nyingi zaidi katika historia ya Ligi ya Premier majira ya joto huku pesa zilizotumiwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAN UNITED WAANIKA KIKOSI CHA UEFA CHAMPIONS LEAGUE, HATIMA YA DE GEA HII...

Manchester United wametaja kikosi kitakachocheza hatua ya makundi ya Champions League, huku wakijumuisha jina la golikipa David De Gea ambaye uhamisho wake kwenda Real Madrid ulikwama dakika za mwisho...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WENGER AJIBU MAPIGO KWA MASHABIKI WA ARSENAL WANAOMLAUMU KUTOSAJILI...

Arsene Wenger ametetea sera yake ya usajili, licha ya Arsenal kushindwa kununua mchezaji yeyote wa ndani ya uwanja mpaka kufungwa kwa dirisha la usajili wa majira ya kiangazi juzi.Golikipa, Petr Cech...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUVENTUS WAKUBALI KUWAUZIA CHELSEA KIFAA HIKI, LAKINI DAU LAKE MHHHH!....

Chelsea wameonywa kwamba wanaweza kulipa dau linalokaribia kufikia rekodi ya dunia kama wanataka kumsajili kiungo wa Juventus, Paul Pogba, wakati wa dirisha dogo la mwezi Januari mwakani.Majira ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NIMEKUWEKEA WASHAMBULIAJI NAMBA TISA HATARI ULIMWENGUNI KWA SASA.

10. Harry Kane- Tottenham HotspurAlifunga mabao 36 katika michezo 81 aliyoichezea Spurs . Ana umri wa miaka 22 kwa sasa.9. Edinson Cavani- Paris Saint-GermainAmefunga magoli 56 katika michezo 96...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWA HAPA, SIMBA HAWAKO VIBAYA...

SIMBA imeonekana kuwa na viungo wengi wenye ubora, lakini pia Yanga na Azam nazo zikiwa si haba katika safu hiyo ikiwa ni baada ya usajili uliofanywa kuanzia wachezaji wa kigeni hadi wazawa tayari kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UHAMISHO WA WACHEZAJI 15 ULAYA AMBAO ULIGUSA MIOYO YA WENGI KATIKA DIEISHA LA...

15. Matteo Darmian – Pauni milioni 12.Kutoka Torino kwenda Manchester United.14. Geoffrey Kondogbia- Yuro milioni 30. Kutoka AS Monaco kwenda Inter Milan.13. Morgan Schneiderlin- Pauni milioni 25....

View Article
Browsing all 1447 articles
Browse latest View live