Quantcast
Channel: MPENJA SPORTS
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1447

HUU NDIO UZI MPYA WA YANGA MSIMU WA 2015/16

$
0
0
 Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) leo imekabidhi rasmi jezi mpya na vifaa mbalimbali kwa timu kongwe nchini Simba na Yanga kwa ajili ya msimu huu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL).
 Meneja Masoko wa Yanga, Omary Kaya (kushoto) akikabidhiwa vifaa vya msimu mpya na Meneja Masoko wa Bia ya Kilimanjaro, Pamela Kikuli kwenye hafla fupi iliyofanyika kwenye ofisi za TBL jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Katikati ni Meneja Masoko Msaidizi wa bia ya Kilimanjaro, Silvanus Mazula. PICHA: BERTHA LUMALA



Viewing all articles
Browse latest Browse all 1447

Trending Articles