WENGER AENDELEZA FALSAFA ZAKE ZA VIJANA, HUYU HAPA KAMPA NAFASI KATIKA KIKOSI...
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amemjumuisha mchezaji Jeff Reine-Adelaide katika kikosi chake kitakacho shiriki michuano ya Champions League.Mfaransa huyo mwenye miaka 19, aliyesajiliwa akitokea Lens...
View ArticleSAMATA, NGASA, ULIMWENGU KAMILI GADO KUWANYOSHA NIGERIA....
Wachezaji watatu wa kimataifa wa Tanzania wanaocheza soka la kulipwa nje ya nchi, Mrisho Ngasa (Free State – Afrika Kusini) , Thomas Ulimwengu na Mbwana Samatta (TP Mazembe – Congo DRC) wamejiunga na...
View ArticleKWA MKWANJA HUU UTAZIONA STARS, SUPER EAGLES JUMAMOSI
Baraka Kizuguto, Afisa habari wa TFFMaandalizi ya mchezo kati ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Nigeria (Super Eagles) yamekamilika, ambapo leo Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetangaza...
View ArticleJOHN BOCCO: “TUTAPIGANA KUISHINDA NIGERIA JUMAMOSI”
John Bocco ‘Adebayor’ mshambuliaji wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ na Azam FCNa Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Mshambulizi wa Taifa Stars, John Bocco amesema wachezaji wote wapo tayari kwa gemu ya...
View ArticleHIVI NDIVYO MBWANA SAMATTA ALIVYO SILAHA MUHIMU STARS
Mwana Samatta, mshambuliaji wa kimataifa wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ na timu ya TP Mazembe ya Congo DRCNa Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Alifunga magoli 16 katika ligi daraja la kwanza Tanzania...
View ArticleNDEMLA, AJIB KUWALAZIMISHA MASHABIKI WA YANGA KUWASHANGILIA
SAID Ndemla na Ibrahim Ajib ni miongoni mwa wachezaji wa Simba waliopo katika kikosi cha Taifa Stars ambao kesho watabadili msimamo wa mashabiki wa Yanga kwa kuwashangilia watakapoivaa Nigeria kwenye...
View ArticleHUU NDIO USAJILI MBOVU KABISA KATIKA DIRISHA LA USAJILI MWAKA 2015 (TOP 5...
5. Radamel Falcao. Kutoka AS Monaco kwenda Chelsea.Alikuwa na msimu mbovu alipokuwa Manchester United msimu uliopita licha ya kupewa nafasi kubwa ya kucheza. Aliishia kufunga mabao manne tu. Lakini...
View ArticleWACHEZAJI 10 BORA WANAOONGOZA KUWA NA MASHABIKI WENGI TWITTER NA KUJIKUSANYIA...
Ndio maana sio suala la kushangaa ama kuuliza kwa nini Cristiano Ronaldo aliamua kutumia akaunti yake ya Twitter kuitangaza kampuni moja ya ushonaji ya nchini Ureno, vile vile kwa nini Wayne Rooney...
View ArticleNIGERIA ILIKUWA BADO KIDOGO TU WALIE TAIFA
Taifa Stars imelazimishwa sare ya bila kufungana dhidi ya Nigeria jioni ya jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar-es-salaam kwenye mchezo wa Kundi G wa kuwania kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON)...
View ArticleEDGAR DAVIDS KATIKA UBORA WAKE TENA, ATUPIA MBILI ZA HATARI DHIDI YA WAKONGWE...
Edgar Davids amerejesha kumbukumbu za miaka kadhaa nyuma baada ya kufunga magoli mawili kwa kukunjuka mashuti ya mbali (long range strikes) wakati wa pambano la ujirani mwema (charity) kati ya Laureus...
View ArticleMATOKEO YOTE YA MICHEZO YA JANA KUFUZU MATAIFA YA AFRIKA YAPO HAPA
Africa Cup of Nations - Qualification:: group ASeptember 5FTLiberia1 - 0TunisiaAfrica Cup of Nations - Qualification:: group CSeptember 5FTSouth Sudan1 - 0Equatorial GuineaAfrica Cup of Nations -...
View ArticleYAPO HAPA MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA JANA ZA KUFUZU MICHUANO YA MATAIFA ULAYA
EURO 2016 - Qualification:: group CSeptember 5FTLuxembourg1 - 0FYR MacedoniaFTUkraine3 - 1BelarusFTSpain2 - 0SlovakiaEURO 2016 - Qualification:: group ESeptember 5FTEstonia1 - 0LithuaniaFTSan Marino0 -...
View ArticleCHUKUA FURSA YAKO KUANGALIA MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA KIRAFIKI ZILIZOPIGWA JANA
International - FriendlySeptember 5FTVenezuela0 - 3HondurasFTUSA2 - 1PeruFTArgentina7 - 0BoliviaFTPanama0 - 1UruguayFTMexico3 - 3Trinidad and TobagoFTGabon4 - 0SudanFTCosta Rica0 - 1Brazil
View ArticleHII NDIO SABABU YA MEMPHIS KUTOKUTUMIA JINA LA BABA YAKE KWENYE JEZI YAKE
Namba saba: Memphis amechukua namba yenye heshima kubwa katika klabu ya Manchester United.Baba yake Memphis Depay amemuomba mwanaye kumaliza tofauti zao ili kufungua ukurasa mpya wa maisha.Nyota huyo...
View ArticleUNAMKUMBUKU RENE HIGUITA?, AFANYA KITUKO KINGINE CHA KUKUMBUKWA, INGIA HAPA...
Miaka ishirini imepita sasa tangu aliyekuwa mlinda mlango wa timu ya taifa ya Colombia Rene Higuita, apige tikitaka inayojulikana kwa jina maarufu la tikitaka ya Nge (scorpion kick) wakati akiokoa...
View ArticleKWELI VINCENT KOMPANY NI NOMA, AMCHEZEA RAFU HADI BINTI YAKE....(VIDEO)
Kuna tabia fulani ambazo humfanya Vincent Kompany kuwa moja ya mabeki wenye mioyo iliyojaa hali ya ushindani muda wote katika ligi kuu nchini Uingereza.Mbelgiji huyo si tu kana kwamba yuko ngangari kwa...
View ArticleSAMATTA AIGOMEA TP MAZEMBE
UWANJA wa Azam ambao ndiyo wa kisasa baada ya ule wa Taifa, Dar es Salaam ulijengwa kwa Sh 2 bilioni za Kitanzania hadi kuanza kutumika kwa mechi za Ligi Kuu Bara.Lakini katika hali ya kushangaza...
View ArticleYANGA KUKUBALI HILI KWA MKWASA ISIPOKUWA UTARATIBU UFUATWE
YANGA kupitia kwa Katibu Mkuu wake, Dk. Jonas Tiboroha, imesema wapo tayari kumwachia kocha msaidizi wao, Charles Boniface Mkwasa, kukitumikia kikosi cha timu ya Taifa, Taifa Stars, ikilitaka...
View ArticleSABABU ZA WACHEZAJI WENGI WA KIAFRIKA KUTUMIA 'JUJU' HIZI HAPA
Emmanuel Adebayor aliishutumu familia yake kumroga ili acheze chini ya kiwango.Wachezaji wengi wa ngazi za juu wa Kiafrika wanaochezea ligi kuu Uingereza inasemekana wanaamini sana katika nguvu za...
View ArticleJE, UNAKUBALIANA NA KAULI HII YA VICTORIA AZARENKA KUHUSU MESSI?
Nyota wa mchezo wa Tennis duniani Victoria Azarenka, amemimina pongezi kwa mchezaji mwenye kipaji cha ajabu ulimwenguni Lionel Messi, huku akisisitiza kwamba hucheza kama yupo kwenye 'video game' pindi...
View Article