Quantcast
Channel: MPENJA SPORTS
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1447

UHAMISHO WA WACHEZAJI 15 ULAYA AMBAO ULIGUSA MIOYO YA WENGI KATIKA DIEISHA LA USAJILI MSIMU HUU,

$
0
0
15. Matteo Darmian – Pauni milioni 12.Kutoka Torino kwenda Manchester United.
14. Geoffrey Kondogbia- Yuro milioni 30. Kutoka AS Monaco kwenda Inter Milan.

13. Morgan Schneiderlin- Pauni milioni 25. Kutoka Southampton kwenda Manchester United.


12. Arturo Vidal- Yuro milioni 37 (Pauni 28). Kutoka Juventus kwenda Bayern Munich.


11. Arda Turan- Yuro milioni 41 (Pauni milioni 29.7). Kutoka Atletico Madrid kwenda Barcelona.


10. Memphis Depay- Pauni milioni 25. Kutoka PSV Eindhoven kwenda Manchester United.



9. Jackson Martinez - Yuro milioni 35. Kutoka FC Porto kwenda Atletico Madrid.

8. Douglas Costa – Yuro milioni 30 (Pauni milioni 21.7). Kutoka Shakhtar Donetsk kwenda Bayern Munich.


7. Petr Cech- Yuro milioni 10. Kutoka Chelsea kwenda Arsenal.

6. Nicolas Otamendi- Pauni milioni 32. Kutoka Valencia kwenda Manchester City.

5. Anthony Martial- Pauni milioni 36. Kutoka AS Monaco kwenda Manchester United.

4. Pedro Rodriguez- Pauni milioni 21.1. Kutoka Barcelona kwenda Chelsea.

3. Kevin De Bruyne- Pauni milioni 54.5. Kutoka Wolfsburg kwenda Manchester City

2. Raheem Sterling- Pauni milioni 49. Kutoka Liverpool kwenda Manchester City.

1. Angel Di Maria- Pauni milioni 44. Kutoka Manchester United kwenda PSG

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1447

Trending Articles