MAMBO YA SUPER MARIO BALOTELLI USIPIME....
Mario Balotelli hana nafasi katika kikosi cha Liverpool kinachofundishwa na Brendan Rodgers na katika ziara ya maandalizi ya msimu mpya, Muitalia huyo aliachwa akifanya mazoezi binafsi.Jana wakati...
View ArticleKUWA WA KWANZA KUJUA KILICHOMTOKEA MOURINHO KWENYE MITANDAO YA KIJAMII....
Jose Mourinho alimaliza wiki kwa uchungu zaidi baada ya jana kulala 3-0 dhidi ya Manchester City katika uwanja wa Etihad.Kufuatia kumshambulia hadharani daktari wa timu, Eva Carneiro na mtaalam wa...
View ArticleRAHEEM STERLING 'AKOPI' NA 'KUPESTI' KUTOKA KWA CRISTIANO RONALDO...
Raheem Sterling tayari amezoea maisha ya Manchester City akitumia jezi yake mpya namba 7 katika uwanja wa Etihad.Nyota huyu aliyesajiliwa kutoka Liverpool kwa paundi milioni 49 ameanzisha logo yake ya...
View ArticleSUB YA JOHN TERRY YAWAGAWA WACHAMBUZI, WEWE UNASEMAJE?
Graeme Souness amepinga mawazo ya mchambuzi mwenzake wa soka anayedai kwamba kitendo cha John Terry kutolewa jana katika mechi dhidi ya Manchester City ni kumtaarifa mmiliki wa klabu hiyo, Roman...
View ArticleFAHAMU MUDA AMBAO BARCELONA WANAJARIBU KUPINDUA KIPIGO CHA 4-0
Baada ya kushinda 5-4 dhidi ya Sevilla na kutwaa ubingwa wa Uefa Super Cup katika mechi ya fainali iliyopigwa nchini Georgia Jumanne iliyopita, Barcelona walijikuta wakichezea kichapo cha 4-0 kutoka...
View ArticleKIKOSI CHA LIVERPOOL KINACHOWEZA KUANZA LEO DHIDI YA AFC BOURNEMOUTH
Liverpool wanachuana na AFC Bournemouth katika mechi pekee ya ligi kuu England inayopigwa leo kuanzia majira ya saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.Kocha mkuu wa Majogoo wa Jiji, Brendan...
View ArticleISOME AYA MOJA YA STRAIKA MPYA WA SIMBA KELVIN NDAYISENGA
Moja ya wachezaji waliotikisa vicha vya habari za michezo mwishoni mwa Juma lililopita ni Straika mpya wa Simba, Kelvin Ndayisenga, raia wa Burundi.Nyota huyo alifunga goli lake la kwanza Jumamosi...
View ArticleAZAM WANAWEZA KUJIBU MAPIGO YA YANGA LEO?
Yanga jana imewatumia salamu Azam FC waliopiga kambi visiwani Zanzibar baada ya kuifunga 3-2 Mbeya City FC katika mechi ya kirafiki iliyopigwa uwanja wa Sokoine Mbeya.Mabingwa hao wa kandanda Tanzania...
View ArticleUSIYOYAFAHAMU KUHUSU WACHEZAJI 10 BORA WA SOKA KWA WAKATI WOTE
Na Oswald NgonyaniMchezo wa mpira wa miguu maarufu kwa jina la soka bado umeendelea kuwa mchezo pendwa zaidi kuliko michezo yote inayochezwa juu ya uso wa dunia. Umaridadi wa wenye kuucheza mchezo huu...
View ArticleSIMBA SC: TIMU YENYE REKODI NZURI KIMATAIFA, ISIYO NA JIPYA KWA SASA
Na Oswald NgonyaniMashabiki wengi wa Timu ya Simba hawana furaha kwa sasa. Hawawezi kuwa na furaha kwa sababu timu yao wanayoipenda kwa dhati ya mioyo yao imeshindwa kabisa kuwapa raha wanayoihitaji...
View ArticleSOMA ALICHOSEMA RAMOS BAADA YA KUANGUKA MKATABA MPYA REAL MADRID....
"Sikuwahi kutaka kuondoka" asema RamosBeki wa Real Madrid Sergio Ramos amesema hakuwahi kutaka kuondoka Bernabeu, licha ya taarifa kadhaa kumhusisha kuhamia Manchester United. Ramos, ambaye amesaini...
View ArticleKAULI YA MANJI BAADA YA KUKATWA UDIWANI MBAGALA KUU
Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ambaye amekatwa kuwania udiwani Mbagala Kuu, amesema alikuwa ni mgonjwa.Manji ambaye ameshinda kwa kura nyingi katika kura za maoni, lakini akaenguliwa kwa madai hakuwa...
View ArticleTOTO YASAJILI MCHEZAJI WA RUVU SHOOTING MWENYE MKATABA..
Baadhi ya wachezaji wa kikosi cha Ruvu ShootingUngozi wa klabu ya soka ya Ruvu Shooting umesema unasikitishwa na klabu ya Toto Africans ya jijini Mwanza kwa kumsajili mchezaji Hamis Seleman wa Ruvu...
View ArticleYANGA YAANIKA HATMA YA KITASA CHAO KUTOKA TOGO....
Bossou (kulia) akimdhibiti Didier Drogba kwenye moja ya mechi waliyochuana Mabingwa wa kandanda Tanzania bara wameridhika na kiwango cha beki wao mpya, Vincent Bossou kutoka Togo na wanatarajia...
View ArticleSOMA KILICHOWAKUMBA TAMBWE, CANNAVARO, JOSHUA
Uongozi wa Yanga SC umefurahishwa na kambi ya siku nane waliyoweka mkoani Mbeya, huku wakicheza mechi tatu za kirafiki ambazo wameshinda zote.Yanga walianza kushinda 4-1 dhidi ya Kimondo FC, wakaichapa...
View ArticleOFFICIAL: SIMBA NA IVO MAPUNDA WAFIKIA MAAMUZI MAGUMU
Ivo (kulia) alikuwa mwalimu mzuri wa Manyika Peter Jr (kushoto)Wekundu wa Msimbazi Simba SC, rasmi wameachana na golikipa wao mkongwe, Ivo Philip Mapunda wakidai kwamba hakutoa ushirikiano wakati...
View ArticleALICHOSEMA MWAMBUSI BAADA YA KUDUNDWA 3-2 NA YANGA SC
Licha ya kufungwa 3-2 na Yanga SC katika mechi ya kirafiki iliyopigwa jana uwanja wa Sokoine, Mbeya, kocha mkuu wa Mbeya City FC, Juma Mwambusi ameridhishwa na kiwango cha wachezaji wake wapya.“Bado...
View ArticleHATIMAYE AZAM FC YAJIBU MAPIGO YA YANGA ...
Azam FC wameshinda mechi ya tatu mfululizo ya kirafiki visiwani Zanzibar baada ya usiku huu kuichakaza 2-0 JKU ya visiwani humo.Magoli ya Azam yamefungwa na John Raphael Bocco 'Adebayor' na Salum...
View ArticlePATA MATOKEO, TAKWIMU BENTEKE AKIFUNGUA AKAUNTI YA MAGOLI LIVERPOOL
Majogoo wa Jiji Liverpool wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya AFC Bournemouth katika mechi pekee ya ligi kuu ya England iliyomalizika usiku huu uwanja wa Anfield.Bao pekee la kikosi hicho cha Brendan...
View ArticlePICHA NA VIDEO: GOLI LA BENTEKE LAMKERA GARY NEVILLE
Gary Neville ameponda makosa endelevu ya kushindwa kutafsiri sheria mpya ya kuotea katika michuano ya ligi kuu England kufuatia Liverpool kupewa goli lisilostahili kwenye mchezo wa EPL uliopigwa Jana...
View Article