Quantcast
Channel: MPENJA SPORTS
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1447

FAHAMU MUDA AMBAO BARCELONA WANAJARIBU KUPINDUA KIPIGO CHA 4-0

$
0
0
Baada ya kushinda 5-4 dhidi ya Sevilla na kutwaa ubingwa wa Uefa Super Cup katika mechi ya fainali iliyopigwa nchini Georgia Jumanne iliyopita, Barcelona walijikuta wakichezea kichapo cha 4-0 kutoka kwa Athletic Bilbao kwenye mchezo wa kwanza ya Spanish Super Cup uliopigwa Ijumaa iliyopita.
Barcelona wanahitaji ushindi wa magoli 5-0 ili kupindua matokeo hayo.
Mechi ya marudiano inapigwa usiku wa leo uwanja wa Camp Nou kuanzia majira ya saa 5:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Lionel Messi na Luis Suarez jana wamefanya mazoezi na wachezaji wenzao na bila shaka ndio wataongoza safu ya ushambuliaji.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1447

Trending Articles