$ 0 0 Liverpool wanachuana na AFC Bournemouth katika mechi pekee ya ligi kuu England inayopigwa leo kuanzia majira ya saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.Kocha mkuu wa Majogoo wa Jiji, Brendan Rodgers anategemea kupanga kikosi hiki: