SAMATTA AKATAA BONGE LA OFA, YEYE ANATAKA HII…
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anaekipiga kwenye klabu ya TP Mazembe ya Congo Mbwana Samatta amedhihirisha kwamba anataka kucheza soka barani Ulaya baada ya kuikataa ofa ya miamba ya soka la...
View ArticleSTAND UNITED YAANGUSHA MZUNGU WA SIMBA
Liewig (kushotoKlabu ya Stand United ya Shinyanga inayoshiriki ligi kuu soka Tanzania bara imeingia mkataba wa miaka miwili na kocha wa zamani wa Simba, Mfaransa, Patrick Liewig.Liewig amesaini...
View ArticleSCHWEINSTEIGER APAGAWA NA KINDA HUYU WA MAN UNITED
Bastian Schweinsteiger amemuelezea mchezaji mwenza wa Manchester United Memphis Depay kama "kipaji kisichoelezeka", baada ya kumuona katika mchezo wake wa kwanza kwenye mechi maandalizi ya msimu mpya...
View ArticlePICHA 4 LIVERPOOL IKIMDUNDA MTU AUSTRALIA
Liverpool imeshinda mechi ya tatu mfululizo katika ziara yake Mashariki ya Mbali na Austaria baada ya kuichapa 2-0 Adelaide United katika mechi ya kirafiki iliyopigwa mchana huu ikiwa ni maandalizi ya...
View ArticleOFFICIAL: FIFA YATANGAZA TAREHE YA UCHAGUZI MKUU KUMPATA MRITHI WA SEPP BLATTER
Shirikisho la soka Duniani, FIFA limetangaza kwamba uchaguzi mkuu wa Rais utafanyika Februari 26 mwakani.Maamuzi haya yamefanyika leo katika kikao cha kamati ya utendaji ya Shirikisho hilo...
View ArticleKIKOSI CHA KMKM KINACHOWAVAA WABABE WA YANGA HIKI HAPA....
Kikosi cha KMKM kilichoanza;Nassor Abdulla Nassor (GK 1)Khamis Ali Khamis (Captain)Tizzo Charles ChombaPandu Haji PanduSaid Idrissa SaidMussa Said AthumanMateo Antony SaimonJuma Mbwana FakiFaki Mwalimu...
View ArticleMAREFA WALIOTEULIWA KUCHEZESHA EPL MSIMU WA 2015-16
Kuna jamaa mmoja kanipigia simu ila mtandao huku kwetu Monduli juu unasumbua sana!! lakini kwa mbaali nilimskia akisema, "....watajutiamaamuzi yao..." lakini simu yake ilikuwa inakata kata sana. Lengo...
View ArticleKAULI ZA WANASOKA MAARUFU DHIDI YA CRISTIANO RONALDO
Bado hapa Monduli mtandao unasumbua sana!!! Kuna jamaa mmoja kanipigia tena ila simu yake inakata kata sana!!! kabla hajakata simu, kwa taaabu nikasikia ametaja ...Dodoma... Lowasa... nikahisi alitaka...
View ArticleBAADHI YA KAULI ZA WANASOKA KUHUSU LIONEL MESSI
Piga hesabu kuanzia sasa unaposoma habari hii kurudi nyuma hadi miezi 7 au 8 iliyopita utakubaliana na mimi kuwa.... Zito Kabwe na Edward Lowasa inawezekana ndio Wanasiasa wanaotajwa sana hapa...
View ArticleNJEMBA YAVAMIA MKUTANO WA SEPP BLATTER NA KUMFANYIA 'UHUNI'...
Wakati Shirikisho la soka Duniani, FIFA likitangaza leo kwamba Februari 26 mwakani ndio siku ya uchaguzi mkuu wa Rais, limetokea tukio la aina yake katika mkutano wa Sepp Blatter na Waandishi wa...
View ArticleMESSI AZINDUA UWANJA WA GABON2017
Mshindi wa tuzo la mchezaji bora duniani mara nne ,Lionel Messi, amekutana na rais wa Gabon Ali Bongo Ondimba.Mchezaji wa Argentina na mabingwa wa ligi kuu ya Ulaya Barcelona aliweka jiwe la msingi la...
View ArticleSTRAIKA WA GOR MAHIA ANAYEWATOA UDENDA YANGA, SIMBA AFANYA BALAA WAKIICHINJA...
Kikosi cha Gor MahiaGor Mahia imekuwa timu ya kwanza kutinga kwenye hatua ya robo fainali kwenye michuano ya Kagame Cup baada ya kuibuka na ushindi kwenye michezo yake miwili kwenye Kundi A, kundi...
View ArticleSIMBA WATOSE WENYEWE, GOLIKIPA HUYU 'MAHABA NINYONGE'....
Golikipa wa Gor Mahia na timu ya taifa ya Kenya Boniface OluochiBaada ya klabu ya Simba kutangaza nia ya kutaka kumsajili mlinda mlango wa timu ya Gor Mahia ya Kenya Boniface Oluochi, kipa huyo amesema...
View ArticleOLUNGA ATOA KAULI BAADA YA KUTIKISA KAGAME, GOR MAHIA WASEMA SIMBA, YANGA...
Mshambuliaji hatari wa timu ya Gor Mahia na timu ya Taifa ya Kenya, Michael Olunga baada ya jana kutupia goli mbili wakati timu yake ikicheza na KMKM na kuisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa goli...
View ArticleYANGA YAPANGA MUZIKI WA NGUVU KUKWEPA JEURI YA WALIOKULA MKONO......
Baada ya kuanza vibaya Kombe la Kagame wakifungwa magoli 2-1 na Gor Mahia ya Kenya, mabingwa wa Kandanda Tanzania bara, Young Africans wana matumaini ya kuibuka na ushindi katika mechi ya pili dhidi ya...
View ArticleMATAJIRI WA UFARANSA WANASA MIDO KISHETI KUTOKA PREMIER LEAGUE...
Matajiri wa Ufaransa, PSG mapema leo wametangaza kukamilisha usajili wa Benjamin Stambouli kutokea klabu ya Tottenham.Mabingwa hao wa kandanda wa ligi kuu ya Ufaransa, Ligue 1 wamesema kiungo huyo...
View ArticleYANGA KUMWAGA 'MAPESA' KWA MASTAA KAGAME
UONGOZI wa Yanga umepanga kung’oa wachezaji watakaoonyesha kiwango cha juu kwenye michuano ya Kombe la Kagame inayoendelea jijini Dar es Salaam kwa gharama yoyote bila kujali anatoka timu gani.Kauli...
View ArticleMZIKI WA AZAM UTAKAOPAMBA NA MALAIKA HUU HAPA
1.Manula Aishi salum 2.Shomari Kapombe 3.Kamagi Gadiel4.Agrey Morris5.Pascal wawa6.Kheri Abdallah7.Jean Mugiraneza8.Domayo Franky9.Salum Aboubakar10. John bocco11.Ammy AliSub 1.Mwadini Ali2.Kipre...
View ArticleKUHUSU OLUNGA KUHUSISHWA NA SIMBA, KASEKE AMESEMA HAYA.....
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Deus Kaseke, amesema kuwa iwapo Simba itafanikiwa kuinasa saini ya straika wa Gor Mahia ya Kenya, Michael Olunga, itakuwa imelamba dume kwani ataziba pengo la Mganda,...
View ArticleDONE DEAL: AZAM FC YASHUSHA KIFAA KILICHOWAUA LIGI YA MABINGWA
Makamu bingwa wa ligi kuu soka Tanzania bara, Azam FC wameendelea kujiimarisha wakati huu wa usajili wa majira ya kiangazi baada ya mchana huu kumsainisha Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Kenya, Allan...
View Article