Quantcast
Channel: MPENJA SPORTS
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1447

TETESI:NYOTA HUYU WA ARSENAL KUONDOKA ENDAPO WENGER ATABAKI KLABUNI HAPO

$
0
0
RUMOURS: Ozil to leave Arsenal if Wenger stays
Mesut Ozil anaweza kuondoka Arsenal mwishoni mwa msimu ikiwa Arsene Wenger ataendelea kubaki kukinoa kikosi hicho.
Mchezaji huyo wa kimataifa raia wa Ujerumani amekuwa katika kiwango bora msimu huu lakini ameonekana kuchoshwa na timu hiyo kutokana na kukosekana kwa makombe, lakini vile vile mikakati thabiti kwa ajili ya kuleta makombe klabuni hapo, hivyo kutoa msimamo wake wa kubaki endapo Wenger ataondoka.
Tetesi zinaeleza kwamba, kiungo huyi yuko mbioni kurejea Uhispani hasa kweny e klabu ya Atletico ambayo imeonesha nia ya wazi ya kumuhitaji endapo ada ya uhamisho na malipo mengine vitawezekana.
Klabu nyingine zilizoonesha nia ni Sevilla na Valencia.



Viewing all articles
Browse latest Browse all 1447

Trending Articles