Quantcast
Channel: MPENJA SPORTS
Browsing all 1447 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAFAEL NADAL AVURUMISHWA NJE MICHUANO YA WIMBLEDON

Nadal (kulia) na Brown (kushoto) wakipeana mikono baada ya mchezoNa Ramadhani Ngoda.Katika hali ya kushangaza na isiyotarajiwa na wengi, moja ya nyota wa tenisi aliyekuwa akipewa nafasi ya kufika mbali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CANNAVARO ANENA HAYA JUU YA TUHUMA ZA STARS KUTOFANYA VIZURI KUTOKANA NA...

Kumekuwa na taarifa mbalimbali mitandaoni zikiwahukumu wachezaji wa timu ya taifa ‘Taifa Stars’ kutojua lugha ya kingereza, kwamba, ndio chanzo kilichopelekea kutofanya vizuri uwanjani, kutokana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DEMBA HUYOO UCHINA

Demba BaMshambuliaji wa kimataifa wa Senegal Demba Ba amejiunga na timu ya Shanghai Shenhua akitokea timu ya Besiktas ya Uturuki.Ba mwenye umri wa miaka 30 alikua anatarajiwa kurudi katika ligi kuu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OKWI, MAVUGO WAMVURUGA KERR

EMMANUEL Okwi, Laudit Mavugo anayetajwa kuwa miongoni mwa wachezaji wapya wa Simba na wengineo, wameonekana kumvuruga Kocha Mkuu wa timu hiyo, Dylan Kerr ambaye ameshindwa kuanza programu yake kamili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSERBIA WA SIMBA APIGA MARUFUKU VYAKULA HIVI....

KOCHA wa viungo wa Simba, Mserbia Dusan Mumcilovis, ameshangazwa na kitendo cha wachezaji wa timu hiyo kulishwa wali mweupe kwa maharage, akitaka wapewe vile vinavyofaa kutumiwa na wanamichezo kama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEST BROM WAAMUA KUJA KIVINGINE UTAMBULISHO WA JEZI ZAO MPYA, NIMEKUWEKEA...

Ni wakati ambao msimu mpya wa EPL unakaribia kuanza, hivyo timu nyingi zipo katika harakati za kuzindua jezi zao mpya kwa ajili ya msimu utakaoanz ahivi karibuni.Wakati baadhi ya vilabu vikitumia muda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TERRY APIGA PICHA LA KABATI LENYE MAKOMBE YOTE ALIYOWAHI KUCHUKUA NA KUWEKA...

Haya ndio makombe ambayo Terry ameweza kujinyakulia katika kipindi chote ambacho ameichezea Chelsea.Akiwa katika kipindi hiki cha mapumziko, nahodha wa Chelsea John ametumia likizo yake hii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MJUE MUUAJI WA YANGA ALIYETUA JKT RUVU....

Amour Omary Janja (kulia)Na Bertha Lumala, Dar es SalaamKUANZIA leo tutakuwa kila siku tunawaletea wasifu wa mchezaji mmoja anayecheza Tanzania. Leo tunaanza na Amour Janja, mshambuliaji hatari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAFARI YA MATUMAINI YA CHARLES MKWASA NCHINI UGANDA

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam CHAN 2016 QUALIFIER (Return Leg):On Saturday, 4th July 2015Uganda Vs Tanzania – (Uganda won 1st Leg 3-0)Nakivubo Stadium, 4:00 p.mViingilio: 10,000/= (Ordinary),...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAPINZANI WA YANGA KAGAME CUP WANATISHA

Kikosi cha Gor MahiaNa Bertha Lumala, Dar es SalaamMABINGWA wa Ligi Kuu ya Kenya (KPL) Gor Mahia wana nafasi kubwa ya kufanya vizuri katika hatua ya mtoano ya michuano ya Kombe la Kagame itakayofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA YAWA YA KISASA!, YAZINDUA HUDUMA MPYA YA SIMBA NEWS

Tovuti rasmi ya Simba imeripoti kwamba Simba Sports Club kwa kushirikiana na  Kampuni ya Tigo Tanzania zimezindua huduma ya ujumbe mfupi ijulikanayo kama ‘SIMBA NEWS’, ambayo lengo lake nikuwapatia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BACARY SAGNA ANAPOKULA BATA NA MWANDANI WAKE NI MTULIVU MNO!

Mlinzi wa kulia wa Manchester City, Bacary Sagna ameanza mazoezi katika fukwe za bahari mjini Miami  akijiwinda na msimu mpya kabla ya kuungana na wenzake.Sagna ameungana na mke wake  Ludivine ambapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YASHIKWA PABAYA USAJILI WA MWASHIUYA, KIMONDO FC WAONESHA MKATABA WAKE

Mkataba wa Mwashiuya na Kimondo FCNa Bertha Lumala, MbeyaMWAKA huu wa Yanga na Kimondo FC! Ni mwaka wao huu! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya leo uongozi wa Kimondo FC kuwaonesha waandishi wa habari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOCHA MBEYA CITY ATUA KIMONDO FC

Mwalwisi (kushoTo) akisaini mkatabaNa Bertha Lumala, MbeyaKOCHA mkuu msaidizi wa zamani wa Mbeya City, Maka Mwalwisi ametua katika klabu ya Kimondo baada ya leo kusaini mkataba wa miaka miwili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NGOMA WA YANGA AENDA ZIMBABWE KUAGA

Na Bertha Lumala, Dar es SalaamMSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Donald Ngoma ameondoka nchini kurejea kwao Zimbabwe kwa ajili ya kuagana na timu yake ya zamani FC Platinum kabla kurejea nchini Jumapili kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAIFA STARS, THE CRANES KESHO MOTO KUWAKA NAKIVUBO, MKWASA ATOKA KAULI HII....

 Taifa Stars inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premieum Lager kesho jumamosi saa 10 kamili kwa saa za Afrika Mashariki itashuka dimba la Nakivubo kucheza na wenyeji Uganda.(The Cranes).Mecho hiyo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DEAL DONE: HAMIS KIIZA AANGUKA MIWILI SIMBA SC

Baada ya kufuzu vipimo Mshambuliaji Hamisi Kiiza amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Simba ya Dar es Salaam.Kiiza ambaye ni mshambuliaji wa zamani wa Yanga aliwasili jana akitokea nchini Uganda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOSHIKA HATAMU KATIKA VICHWA VYA HABARI ZA MAGAZETI MICHEZO ULAYA LEO...

Manchester United hawatobadili msimamo wao kuhusu bei ya pauni milioni 35 waliyoweka kwa kipa David De Gea licha ya taarifa kutoka Spain zinazosema Old Trafford wameshusha bei hadi pauni milioni 25...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAIFA STARS SUPPORTERS WAKO NJIANI KWENDA KUKINUKISHA UGANDA

Mechi kati ya Taifa Stars na The Cranes( Uganda) itapigwa ndani ya jiji la Kampala jumamosi hii majira ya Saa kumi kamili jioni katika ule uwanja maarufu sana nchini Ugana na Afrika mashariki kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIZI NI HABARI NJEMA KWA CHELSEA

Chelsea wamethibitisha kumsajili mshambuliji wa Kolombia Radamel Falcao kwa mkopo wa msimu mzima kutoka klabu ya Monaco.Falcao,29, msimu uliopita alikipiga kwa  mkopo kwa mashetani Wekundu klabu ya...

View Article
Browsing all 1447 articles
Browse latest View live