Quantcast
Channel: MPENJA SPORTS
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1447

TERRY APIGA PICHA LA KABATI LENYE MAKOMBE YOTE ALIYOWAHI KUCHUKUA NA KUWEKA INSTAGRAM, JIOONEE MWENYEWE HAPA

$
0
0

Haya ndio makombe ambayo Terry ameweza kujinyakulia katika kipindi chote ambacho ameichezea Chelsea.
Akiwa katika kipindi hiki cha mapumziko, nahodha wa 
Chelsea John ametumia likizo yake hii kujikumbusha mafanikio yake tangu alipoanza tasnia ya mpira wa miguu mpaka sasa alipofikia.
Mlinzi huyo mahiri aliweka picha ya kabati ambalo lina makombe yote aliyowahi kuchukua katika mtandao wa Instagram jana, huku likiongezeka la ligi kuu ambalo wamechukua msimu huu uliomalizaika wa 2014-15 ambalo alicheza kila dakika ya mchezo mpaka msimu kuisha.

Jumla ya makombe aliyojinyakulia Terry
Ligi kuu: 4
Kombe la FA: 5
Kombe la Ligi: 3
Ligi ya Mbingwa: 1 
Kombe la Uropa: 1 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1447

Trending Articles