TIKETI ZA YANGA vs AZAM FC KUUZWA ENEO HILI....
Mchezo wa Ngao ya Jamii kuashiria kufunguliwa kwa pazia la Ligi Kuu ya Vodacom nchini (VPL) utachezwa kesho jumamosi katika uwanja wa Taifa saa 10 kamili jioni, ambapo utazikutanisha timu za Azam FC...
View ArticleDIRISHA LA USAJILI BONGO LAPIGWA KUFULI....
Boniface Wambura, Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya LigiDirisha la usajili kwa vilabu vya Ligi Kuu nchini (VPL), Ligi Daraja la Kwanza (FDL) na Ligi Daraja la Pili (SDL) limefungwa jana ambapo vilabu...
View ArticleHII HAPA ORODHA YA WACHEZAJI WA TAIFA STARS WANAOKWENDA UTURUKI
Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro, Charles Mkwasa ametoa orodha ya wachezaji 22 watakaosafiri usiku wa jumapili kuelekea nchini Uturuki kwa...
View ArticleTFF YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA MWAMUZI....
Katibu mkuu wa TFF, Celestine MwesigwaShirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetuma salam za rambi rambi kwa chama cha mpira wa miguu mkoa wa Pwani (COREFA) kufuatia kifo cha mwamuzi mstaafu wa...
View ArticleDRFA WAKAIDI AGIZO LA TFF MCHANA KWEUPE....
Rais wa TFF, Jamal MalinziKamati ya uchaguzi ya chama cha soka mkoa wa Dar e salaam DRFA,imeshindwa kutekeleza agizo lililotolewa na mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya shirikisho la mpira wa miguu...
View ArticleMAKOCHA MNAOTAKA LESENI C YA CAF MMEITWA KULIPA ADA....
Washiriki wa kozi ya ukocha kwa ngazi ya leseni ‘C’ iliyoandaliwa na shirikisho la soka barani afrika CAF pamoja na chama cha soka mkoa wa Dar es salaam DRFA,ambayo inayotarajiwa kuanza tarehe 28/ 08/...
View ArticleMATOLA, MAYAY WAKUMBUSHENI WENZENU HAWA KULIPA ADA....
Washiriki hawa wa kozi ya ukocha kwa ngazi ya leseni ‘C’ iliyoandaliwa na shirikisho la soka barani afrika CAF pamoja na chama cha soka mkoa wa Dar es salaam DRFA,ambayo inayotarajiwa kuanza tarehe 28/...
View ArticleMSHAMBULIAJI WA SENEGAL ATUA MSIMBAZI KWA MAJARIBIO
Niang akipokea simu mara baada ya kuwasili kwenye hoteli aliyofikia jijini Dar es SalaamMshambuliaji raia wa Senegal Papa Niang ameshawasili jijini Dar es Salaam leo taayari kwa ajili ya kuanza...
View ArticleSIMBA YAMPA PAPA NIANG SIKU HII AAMUE MWENYEWE....
Mshambuliaji Papa Niang amepewa Jumatatu kama nafasi ya kuwadhihirishia Simba kwamba ana uwezo na atakuwa msaada, hivyo chaguo lake, ashindwe arudi Senegal, afanye vitu apande meli ya Simba.Niang raia...
View ArticleMONACO NA CELTIC NJE KLABU BINGWA ULAYA, MAN UNITED KURUSHA KETE LEO...
Usiku wa kuamkia leo timu kadhaa za soka barani Ulaya zilishuka dimbani kutafuta tiketi ya kufuzu kuingia katika hatua ya makundi kwenye mashindano ya klabu bingwa barani humo.Monaco ya Ufaransa,...
View ArticleAZAM FC, MWADUI FC USO KWA USO....
Azam FC na timu mpya ya ligi kuu Tanzania bara, Mwadui FC ya Shinyanga leo usiku zinakwaana katika mchezo wa kirafiki unaopigwa uwanja wa Azam Complex.Mechi hiyo itaanza majira ya saa 1:00 usiku kwa...
View ArticleTAARIFA MBAYA KWA MASHABIKI WA TAIFA STARS
Salehjembe ameripoti kwamba kiungo wa Simba, Abdi Banda anayekipiga katika kikosi cha Taifa Stars ameumia akiwa mazoezini mjini hapa nchini Uturuki.Banda ameumia wakati wa mazoezi ya kukimbia kwa kasi...
View ArticleREKODI MPYA YA HISPANIA LIGI YA MABINGWA HII HAPA
Hispania imekuwa nchi ya kwanza kuwa na timu tano zilizofuzu katika hatua ya makundi ya michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya baada ya Valencia kuwatungua Monaco kwa uwiano wa mabao 4-3 katika...
View ArticleRATIBA YA KOMBE LA CAPITAL ONE RAUNDI YA TATU HII HAPA, ARSENAL, SPURS KAZI IPO
Middlesbrough v WolvesNorwich v West Brom or Port ValeHull v SwanseaLeicester v West HamASTON VILLA v BIRMINGHAM CITYTOTTENHAM v ARSENALMANCHESTER UNITED v IPSWICH TOWNLIVERPOOL v CARLISLE...
View ArticleNIMEKUWEKEA HAPA ORODHA YA VIUNGO BORA KUMI ULIMWENGUNI
10. Arturo Vidal –Bayern Munich9. Juan Mata –Manchester United8. Luka Modric –Real Madrid7. Yaya Toure –Manchester City6. Angel Di Maria –PSG5. Paul Pogba – Juventus4. David Silva –Manchester City3....
View ArticleHAWA NDIO WACHEZAJI KUMI TAJIRI KATIKA ULIMWENGU WA SOKA
10. THIERRY HENRYYuro milioni 479. GIANLUIGI BUFFONYuro milioni 52 8. ZLATAN IBRAHIMOVICYuro milioni 57 7. RONALDINHOYuro milioni 64 million6. NEYMAR JR.Yuro milioni 66 5. RICARDO KAKAYuro milioni 67.5...
View ArticleREDKNAPP AZIDI KUSHINDILIA MSUMARI WA MOTO KWA MASHABIKI WA ARSENAL, HII NDIO...
Kocha za zamani wa Tottenham, Harry Redknapp amesema timu ya Arsenal inahitaji kusajili wachezaji watatu muhimu msimu huu kama wanahitaji kushinda taji la Premier League.Redknapp amesema hayo baada ya...
View ArticleVIDEO:WENGER AIBUKA MSHINDI DHIDI YA ARTETA NA WALCOTT KWA KUFUNGA 'DIZZY GOALS'
Arsenal ndio klabu ambayo imeanza na mfumo wa mazoezi ya kufunga magoli baada ya wachezaji kuwa na kizunguzungu .Mfumo huo unahusisha kuuzunguka mpira mara 13 kabla ya kwenda kupiga penati na...
View ArticleBONDIA LULU KAYAGE APAA AFRIKA YA KUSINI NA MATUMAINI YA USHINDI
Bondia Lulu Kayage akiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere kwa ajili ya safari yake ya Afrika kusini kupigana mpambano mwingine agoust 28. Picha zote na SUPER D BOXING NEWSBondia...
View ArticleGARY NEVILLE; ‘ NI UBISHI AU UJINGA WA WENGER’ ……?
Kwa muda mchache anaonekana kuwa vizuri ,Francis Coquelin anaonesha kitu katika safu ya kiungo ya Arsenal. Kamati ya uchambuzi ya espn walijaribu kuangalia kikosi cha sasa cha Arsenal na kuzungumzia...
View Article