
Monaco ya Ufaransa, walikuwa nyumbani kucheza dhidi ya Valencia. Hadi mwisho wa mchezo huo Monaco imeibuka kidedea kwa jumla ya bao 2-1.
Hata hivyo Valencia imefuzu hatua ya makundi kwa jumla ya bao 4-3, baada kushinda bao 3-1 kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza. Nayo Malmo FF ikaiadhibu Celtic kwa jumla ya bao 2-0, na kusonga mbele kwa jumla ya bao 4-3.

Manchester utd itakua ugenini kucheza dhidi Club Brugge, huku Bayer Liverkusen itamenyana na Lazio. CSKA Moscow itakipiga dhidi ya Sporting Lisbon.
RATIBA YA LEO
August 26
21:45