Quantcast
Channel: MPENJA SPORTS
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1447

MATOLA, MAYAY WAKUMBUSHENI WENZENU HAWA KULIPA ADA....

$
0
0

Washiriki hawa wa kozi ya ukocha kwa ngazi ya leseni ‘C’ iliyoandaliwa na shirikisho la soka barani afrika CAF pamoja na chama cha soka mkoa wa Dar es salaam DRFA,ambayo inayotarajiwa kuanza tarehe 28/ 08/ 2015, wanakumbushwa kulipia ada zao  za ushiriki kwenye kozi hiyo,itakayofanyika katika ukumbi wa ofisi za TFF zilizopo uwanja wa karume jijini Dar es salaam.





Viewing all articles
Browse latest Browse all 1447

Trending Articles