IJUE HISTORIA YA MECHI ZA UFUNGUZI WA LIGI KUU ENGLAND
Ligi kuu England msimu wa 2015/2016 inaanza leo na timu zote 20 zinakabiliwa na mechi 38.Mabingwa watetezi, Chelsea wanafungua dimba na Swansea City.Hata hivyo mtandao wa bwin umeleta takwimu za timu...
View ArticlePATA MPYA KUTOKA YANGA SC.....
Msafara wa Mabingwa wa kandanda nchini Tanzania, Dar es salaamYoung Africans ukiwa na viongozi,wachezaji na benchi la ufundi umeondoka leo saa 12 alfajiri kuelekea Mbeya.Yanga itapitiliza moja kwa...
View ArticleAZAM WAJIBU MAPIGO YA YANGA...
Wakati Yanga wakienda kujificha Mbeya kwaajili ya maandalizi ya ligi kuu na mechi ya ngao ya jamii, mabingwa wa Kombe la Afrika Mashariki “Kagame Cup”, Azam FC wanaondoka leo asubuhi kuelekea Kisiwani...
View ArticleMOURINHO ANA KAULI HII HAPA KUHUSU WAPINZANI WAKE KUFANYA KUFURU YA USAJILI
Kocha wa Chelsea Jose Mourinho hatetemeshwi na hali ya klabu yake kutofanya usajili wa nguvu mpaka sasa ukifananisha na wapinzani wake ambao wameonekana kutumia fedha nyingi kuimarisha vikosi...
View ArticleANGEL DI MARIA AISHUHUDIA PSG IKIMDUNDA MTU LEAGUE 1
Winga mpya wa PSG aliyesajiliwa kutoka Manchester United, kwa dau la paundi milioni 44, Muargentina, Angel di Maria jana aliitazama timu yake akiwa jukwaani na bahati nzuri ikashinda 1-0 dhidi ya...
View ArticleFAHAMU KWANINI SERGIO AGUERO AMECHAGUA JEZI NAMBA 10
Sergio Kun Aguero alikuwa anavaa jezi namba 16 msimu uliopita, lakini sasa amebadili ambapo atavaa jezi namba 10 ambayo ilikuwa inavaliwa na Edin Dzeko.Alipoulizwa kwanini amechagua jezi hiyo?Aguero...
View ArticleMAN UNITED NYOTA NJEMA HUONEKANA ASUBUHI, YAILAZA SPURS OT.
Mshambuliaji mpya wa Manchester United Memphis Depay (katikati) akimpongeza Wayne Rooney baada ya kusababisha kupata goli dhidi ya Spurs.Manchester United wamefungua vizuri pazia la ligi kuu Uingereza...
View ArticleDAAAH! UKITAZAMA MAMBO HAYA YA ROONEY UNAPATA RAHA!......
Manchester United walikosa nafasi muhimu kipindi cha pili kufuatia nahodha wake, Wayne Rooney kushindwa kutumbukiza gozi kambini+30Rooney alionesha jitihada kubwa, lakini mambo yalikuwa magumu+30Rooney...
View ArticleHUKU AKIWA JUKWAANI, MADRID YAKUBALI KUTOA MZIGO HUU IIMTWAE DE GEA
Wakati Kocha Louis van Gaal ameamua kuanza Ligi Kuu England kwa kumuweka benchi kipa David De Gea, Real Madrid imezidi kutia msisitizo kuwa inamtaka.Kwa kuwa yuko benchi, basi anaonekana si chaguo la...
View ArticleSIMBA YAFUTA MKOSI WA 'SIMBA DAY'.....LEO KICHEKO TU....
Bao pekee la Awadh Juma limetosha kuipa ushindi klabu ya Simba dhidi ya SC Villa ya Uganda katika mechi ya kimataifa ya kirafiki iliyomalizika jioni ya leo uwanja wa Taifa, Dar es salaam.Awadh amecheka...
View ArticleKAMA HUJAANGALIA TV NIMEKUWEKEA MATOKEO MENGINE YA LIGI KUU ENGLAND
Haya hapa matokeo ya mechi zote za ligi kuu England zilizomalika mpaka sasa:England - Premier LeagueFTManchester United1 - 0Tottenham HotspurFTAFC Bournemouth0 - 1Aston VillaFTEverton2 -...
View ArticleNIMEKUWEKEA HAPA WAKALI WENGINE KUTOKA LIGUE 1
Na Salym JumaHapa chini pia niwachezaji waliotoka na walioingia kwenye ligi kuu ya Ufaransa maarufu kama ‘French ligue 1’MarseilleWaliosajiliwa: Karim Rekik (Hijawekwa wazi, Manchester City), Abou...
View ArticleWALIOONDOKA NA KUINGIA KIPINDI HIKI CHA USAJILI WA BAYERN HAPA
Bayern MunichWaliosajiliwa: Douglas Costa (£21m, Shakhtar Donetsk), Arturo Vidal (Hijawekwa wazi, Juventus)Waliouzwa: Bastian Schweiwateiger (£14.4m, Manchester United)Borussia...
View ArticleTIMU YA SHERMAN YAIBUKA WABABE KWA TIMU YA NGASSA
Winga wa kimataifa wa Tanzania Mrisho Ngassa (wapili) kushoto akiwa na wachezaji wenzake wa Free State StarsWinga wa kimataifa wa Tanzania Mrisho Ngassa anaekipiga kwenye klabu ya Free State Stars...
View ArticleSIO TU KAZI YA USEMAJI, HATA HUMU MANARA PIA YUMO
Afisa habari wa Simba SC Hajji Manara (kulia) akikabiliana na mchezaji wa wacheza filamu wa Bongo MoviesAfisa habari wa klabu ya Simba Hajji Manara jana alikuwa kivutio kikubwa kwenye siku ya Simba Day...
View ArticleARSENAL YAANZA VIBAYA LIGI KUU ENGLAND
Klabu ya ARSENAL imeanza vibaya msimu wa 2015/2016 wa ligi kuu ya ENGLAND baada ya kukubali kichapo cha magoli mawili kwa bila kutoka kwa WESTHAM UNITED katika mechi iliyopigwa uwanja wa EMIRATES.Mabao...
View ArticleCOUTINHO HATARIIII!!!!APIGA BONGE YA MASHINE, LIVERPOOL IKIIBWAGA STOKE NYUMBANI
Kwa muda mrefu Liverpool ilionekana ingetoka sare ya bila kufungana na klabu ya Stoke City kwenye mchezo wa ligi kuu ya England kwenye uwanja wa Britain Stadium lakini goli la Philippe Coutinho zikiwa...
View ArticleABDI KASSIM AMUONYESHA KAZI EL HADJI DIOUF TIMU YAKE IKISHINDA MALAYSIA
Unamkumbuka yuko kiungo mchezeshaji wa zamani wa Mtibwa Sugar na Yanga, Abdi Kassim ‘Babi’, bado anaendelea kung’ara nchini Malaysia.Wikiendi hii ameingoza timu yake ya UiTM FC kuichapa Sabah FC...
View ArticleYANGA YAMNASA RASTA WA KMKM, NI YULE ALIYEIPIGA SIMBA MBILI ZANZIBAR
Yanga imezidi kuongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji baada ya kumnasa Matheo Anthony.Huyu ni yule mshambuliaji hatari wa KMKM ya Zanzibar aliyeifunga Yanga kwenye Kagame Cup.Lakini akapiga bao...
View ArticleYANGA YAISHUSHIA MVUA TIMU YA ZAMANI YA MWASHIUYA
Mabingwa wa kandanda Tanzania bara, Dar Young Africans leo jioni wameshinda 4-1 dhidi ya Kimondo katika mechi iliyopigwa uwanja wa CCM Vwawa Mbozi.Kimondo walianza kwa kasi kubwa huku wakionesha...
View Article