BOBBI KRISTINA MWANAWE WHITNEY AFARIKI
Bobbi Kristina Brown ,mtoto wa marehemu Whitney Houston ambaye alikuwa gwiji wa muziki wa R&B ,amefariki dunia baada ya kupoteza fahamu kwa muda wa miezi sita tangu alipokutwa taabani kwenye bafu...
View Article"DEL PIERO" ATUA COASTAL UNION ...
Na Frank MgungaAliyewahi kuwa kocha wa klabu ya Afrikan sports ya jijini Tanga ambayo imepanda daraja kucheza ligi kuu soka Tanzania bara msimu ujao, John William maarufu kama Del Piero ametua katika...
View ArticleYANGA YACHIMBA MKWARA MZITO KUELEKEA ROBO FAINALI
BAADA ya kuichapa Khartoum ya Sudan bao 1-0 na kujikuta ikikutana na Azam katika hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Kagame keshokutwa, Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm, ametamba...
View ArticlePICHA: NYOTA HUYU AWACHANA 'MA-HATERS' WAKE HUKU AKIPIGA SHAMPENI....
Wakati Mexico wakishangilia Ubingwa wa saba wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho la Soka la Nchi za MAREKANI ya Kaskazini na Kati pamoja na Visiwa vya CARRIBEAN, CONCACAF GOLD CUP baada ya kuifunga...
View ArticleDEPAY AFICHUA RASMI SIRI YA VAN GAAL, INGIA HAPA KUJUA
Kocha wa Manchester United ana shauku kubwa ya kusajili mshambuliaji mpya katika dirisha hili la usajili majira ya joto, huku akisisitiza kuwa Mashetani hao Wekundu wanahitaji mtu mwenye uwezo, na...
View ArticleNYARAKA YA SIRI ILIYOANDIKWA LIVERPOOL MWAKA 1974 YAFICHULIWA....
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, barua aliyoandika kocha wa zamani wa Liverpool, mwenye historia kubwa, BILL SHANKLY akiomba kustaafu mwaka 1974 imeonekana.Akiaminika kuwa ndiye kocha mkubwa zaidi...
View ArticleKUHUSU UAMUZI WA STERLING KUJIUNGA NA MAN CITY, TERRY NAYE ATOA NENO
Nahodha wa Chelsea John Terry amesema Manchester City wamelamba dume baada ya kufanikiwa kuinasa saini ya nyota wa Liverpool Raheem Sterling kwa ada ya pauni milioni 49.Japokuwa usajili wake ulizua...
View ArticlePICHA:CHEKI ALEXIS SANCHEZ ANAVYOKAMUA UFUKWENI KUJIANDAA NA MSIMU MPYA WA LIGI
Baada ya kushinda kombe la Copa America akiwa na taifa lake la Chile, Alexis Sanchez bado hajarejea kwenye klabu yake ya Arsenal, kutokana na kuongezewa muda wa likizo na kocha wake Arsene...
View ArticleMKE KUMUONDOA VAN GAAL MAN U 2017
Meneja wa Manchester United Louis Van Gaal amesema kuwa huenda akaondoka katika kilabu ya Manchester United mwisho wa kandarasi yake ya miaka mitatu ili kutimiza ahadi aliyotoa kwa mkewe.Alipoulizwa...
View ArticleZUNGU AZINDUA MICHUANO YA AIRTEL RISING STARS DAR
Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu leo amezindua michuano ya Airtel Rising Star kwa mkoa wa Dare salaam, ambapo timu kutoka wilaya za Ilala, Temeke na Kinondoni zinashikriki michuano hiyo.Akifungua michuano...
View ArticleGOR MAHIA YAPIGWA MKWARA NA MAMBO YAO YA 'KIHUNI'
Kikosi cha Gor MahiaKamati ya uendeshaji wa michuano ya CEKAFA ya hapa nchini (Local Organization Committee) iliwasilisha malalamiko yake kwa CECAFA kutokana na utovu wa nidhamu uliooneshwa na kocha wa...
View ArticleYANGA, AZAM NI FAINALI ILIYOWAHI KOMBE LA KAGAME?
Hatua ya Robo Fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup 2015) inatarajiwa kuanza kesho Jumanne kwa michezo miwili kuchezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es...
View ArticleDONE DEAL: SIMBA YAMREJESHA MIDO WAKE KUTOKA UARABUNI
Kazimoto (kulia) akiwa na Rais wa Simba, Evans AvevaHatimaye kiungo wa kimataifa wa Tanzania, Mwinyi Kazimoto ameendelea kuongeza idadi ya wachezaji wa Tanzania wanaokwenda kucheza soka la kulipwa na...
View ArticleOFFICIAL: YANGA YAMUUZA KPAH SHERMAN TIMU HII YA SAUZ
Mshambuliaji wa Yanga, raia wa Liberia, Kpah Sherman sasa maisha yamefikia kikomo Jangwani baada ya kuuzwa rasmi.Katibu mkuu wa Yanga, Dr. Jonas Tiboroha amethibitisha kumuuza Sherman katika klabu ya...
View ArticleORODHA YA WANAOKWENDA KUIPOKEA TANZANITE LEO USIKU HII HAPA....
Waliothibitisha Kwenda Airport Kuipokea Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya Umri wa miaka 20, Tanzanite leo usiku ambapo Makutano Ni Ofisi Za Tff Uwanja Wa Karume Kuanzia Saa 12:00 Jioni Ni Hawa...
View ArticleSIMBA YAJA NA JIPYA TENA, SAFARI HII KUBWA KULIKO...
Klabu ya Simba kwa kushirikiana na Jumia wamezindua huduma ya kununua jezi za Simba 2015 – 2016 kupitia duka la mtandao la Jumia www.jumia.co.tz. Dhumuni la huduma hii ni kuwapatia wapenzi wa klabu ya...
View ArticleHATIMAYE…HII NDIO CLUB ALIYOSAINI DIDIER DROGBA
Baada tetesi nyingi kuhusu wapi ataenda gwiji wa Chelsea hatimaye tetesi hizo zimeisha.Mchezaji huyo mwenye miaka 37 amesaini mkataba wa miezi 18 ambao una thamani ya $3 million kwa mwaka.Club mpya ya...
View ArticleKULEKEA MCHEZO WA NGAO YA HISANI KATI YA CHELSEA NA ARSENAL, MOURINHO...
Kocha wa Chelsea Jose Mourinho amesema kwamba kocha wa Arsenal Arsene Wenger anahitaji kupewa kalukuleta linapkuja suala la kufananisha kati ya Arsenal na Chelsea.Mwanzoni kabisa Wenger alisema...
View ArticleMSIYEMPENDA KAJA
VIGOGO wa Cecafa hawakutamani timu wenyeji zikutane kabla ya hatua ya nusu fainali, lakini kwa sasa haizuiliki, Yanga na Azam lazima zicheze robo fainali kesho Jumatano kwenye michuano ya Kombe la...
View Article