COURTOIS SHUJAA CHELSEA IKIITWANGA PSG KWA PENATI
Chelsea wamefanikiwa kuibuka na ushindi dhidi ya PSG baada ya kufanikiwa kushinda kwa changamoto ya mikwaju ya penati 6-5, katika mchezo wa kuwania 'International Champions Cup' uliopigwa usiku wa...
View ArticleWENGER AENDELEZA KAULI ZAKE ZA KUWAUDHI MASHABIKI WA ARSENAL
Kocha wa Arsenal Arsene Wenger bado ana imani kubwa kuwa ataimarisha eneo la ushambuliaji kwa timu yake endapo atapata mtu sahihi atakaeendana na mfumo wa timu yakeJana Arsenal waliibuka na ushindi...
View ArticleHIZI SI HABARI NZURI KWA MASHABIKI WA MAN U HATA KIDOGO
Di Maria amewaambia Man United anataka kujiunga na PSGStoo ya United ikiwa na maski za Robin van Persie, Di Maria na Radamel Falcao ambazo ndizo pekee zinazouzwa kwa bei rahisi kabisa.Angel di Maria...
View ArticleVIONGOZI WA YANGA USHAURI HUU POKEENI KWA MIKONO MIWILI
Admini wa Ukurasa maarufu wa facebook wa 'Naipenda Yanga' ameandika maneno mazito na yenye mantiki akiwashauri viongozi wa Yanga kuwa na mikakati madhubuti na klabu yao, ikiwemo kutumia vizuri vipaji...
View ArticleHABARI 'MUJARABU' KWA ARSENAL KUHUSU WALCOTT
Haendi popote: Walcott ataendelea kubaki Arsenal mpaka mwaka 2019Theo Walcott amekubali kusaini mkataba mpya na klabu yake ya Arsenal.Nyota huyo wa Uingereza (26), alikuwa anaingia katika mwaka wa...
View ArticleMCHEZO NI FURAHA; CHEKI MAKOCHA HAWA KUTOKA TIMU PINZANI WANAVYOLONGA KWA...
Kocha wa Khartoum Kwesi Appiah (kushoto) akiwa pamoja na kocha wa Gor Mahia Frank Nuttal (katikati) na kocha msaidizi wa Gor Mahia (kulia) wakifurahia jambo pamojaJana wakati timu zao zikifanya mazoezi...
View ArticleFALCAO AANZA KAZI CHELSEA WAKIWAFUNGA PSG MAREKANI
Mshambuliaji Radamel Falcao Garcia, aliifungia timu yake mpya ya Chelsea goli katika hatua ya changamoto ya mikwaju ya penati mara baada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya PSG katika mechi za kimataifa za...
View ArticleIBRAHIMOVIC ASEMA HAYA BAADA YA KUSIKIA DI MARIA YUPO KATIKA HATUA ZA MWISHO...
Zlatan Ibrahimovic amemkaribisha Angel Di Maria Paris Saint-Germain, baada ya taarifa kuwa, uhamisho wa Muargentina huyo ukiwa karibu kabisa kukamilika.Kocha wa Man United Louis van Gaal jana...
View ArticleKIKOSI CHA YANGA LEO DHIDI YA AL-KHARTOUM YA SUDAN
MICHUANO YA KAGAME CUP.YANGA SC (Tanzania) vs Al - Khartoum (Sudan)KIKOSI CHA YANGA LEO.1.Ally Mustafa Mtinge "Barthez"2.Joseph Tetteh Zuttah3 .Oscar Fanuel Joshua.4.Pato Ngonyani.5.Kelvin Patrick...
View ArticleGOR MAHIA YAMALIZA VYEMA KUNDI A KAGAME IKIIFUMUA TELECOM FC
Na Bertha Lumala, Dar es SalamMSHAMBULIAJI wa Gor Mahia anayewaniwa na klabu za Azam, Simba na Yanga, Michael Olunga, amefikisha mabao manne katika michuano ya Kombe la Kagame 2015 baada ya leo alasiri...
View ArticleNI YANGA VS AZAM FC ROBO FAINALI JUMATANIO
Na Bertha Lumala, Dar es SalaamYANGA na Azam FC zitakumbushia fainali ya 2012 ya Kombe la Kagame zitakapomenyana kwenye Uwanja wa Taifa keshokutwa Jumatano baada ya leo jioni Wanajangwani kuibuka na...
View ArticleYALIYOJIRI KATIKA MCHEZO WA NYOTA (ALL STAR) WA WNBA (LIGI YA KIKAPU YA...
Na Nicasius Nicholaus Agwanda (Nicasius Coutinho Suso) Wakati ligi nyingi zikiwa katika mapumziko za michezo mbalimbali, pacha wa ligi kuu ya kikapu nchini Marekani (NBA) hapa tunaongelea ligi kuu ya...
View ArticleSIMBA KESHO KUJIPIMA UBAVU NA TIMU HII ZANZIBAR
Timu ya Simba kesho inatarajiwa kucheza na timu ya Zanzibar Combain katika mchezo wao wa kirafiki unaotarajiwa kuchezwa siku ya Kesho tarehe 27 – 7 – 2015.Timu ya Simba leo imepewa mapuziko ya siku...
View ArticleSTORI MPYA YA CRISTIANO RONALDO KUJEREA MANCHESTER UNITED
Moja ya stori inayotembea sana kwa sasa ni Cristiano Ronaldo kuhusishwa kurejea Manchester United, lakini kocha mkuu wa klau hiyo, Louis van Gaal amekanusha taarifa hizo.Mreno huyo alidumu miaka sita...
View ArticleSAFARI YA MATUMAINI YA MANCHESTER UNITED HALI TETE...
Hii ni habari mbaya kwa mashabiki wa Manchetser United wenye hamu ya kunasa kitasa hiki cha maana kwa ajili ya msimu ujao wa ligi kuu England na mashindano mengine ikiwemo Uefa Champions League.Stori...
View ArticleSTORI HII YA JOHN TERRY IME-MAKE HEADLINE LEO JUMATATU....
Nahodha mwandamizi wa Machampions wa England, Chelsea, John Terry leo ame-make Headline kwenye vyombo vya habari.Terry ameweka wazi kwamba ana nia ya kuichezea Chelsea angalau kwa miaka miwili ijayo na...
View ArticleDONE DEAL: MANCHESTER UNITED YAPATA MRITHI WA VICTOR VALDES
Manchester United jana usiku wamethibitisha kumsajili Golikipa wa Argentina ambaye ni mchezaji huru, Sergio Romero.Romero mwenye miaka 28 amesaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia miamba hiyo ya Old...
View ArticlePELLEGRINI ATUMIA MBINU HII KUMZUIA PEP GUARDIOLA
Manuel Pellegrini amekiri kwamba Manchester City inatakiwa kufanya vizuri msimu huu ili kuepusha uwezekano wa Pep Guardiola kuvaa viatu vyake Etihad msimu ujao.Pellegrini ameingia katika miezi yake 12...
View ArticleTWEETS ZA MASUPASTAA WA ARSENAL BAADA YA KUTWAA EMIRATES CUP
Hii ni dalili kwamba kufikia mwezi Mei mwakani, Arsenal watakuwa wamekusanya makombe ya kutosha?Wakiwa tayari wameshinda kombe la pili la FA mfululizo msimu uliopita, Arsenal jana wametwaa kombe la...
View ArticleMEXICO MABINGWA WAPYA CONCACAF GOLD CUP 2015, WAIDUNDA JAMAICA FAINALI
MEXICO wametwaa Ubingwa wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho la Soka la Nchi za Marekani ya Kaskazini na Kati pamoja na Visiwa vya Carribean, CONCACAF GOLD CUP baada ya kuifunga Jamaica mabao 3-1...
View Article