WAKALI HAWA WANA ZALI LA KUFA MTU AISEE
ZOEZI la usajili kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara linaendelea kwa sasa nchini na limewanufaisha baadhi ya wachezaji ambao kwa namna moja au nyingine, wala hawakuota kuangukiwa na zali. Unajua...
View ArticleCOUTINHO SASA HALI TETE '1ST ELEVEN' JANGWANI
WINGA wa Yanga, Mbrazil Andrey Coutinho, amejikuta akiwa njiapanda juu ya uwezekano wa kupata namba katika kikosi cha kwanza (First Eleven), kutokana na timu hiyo kusheheni rundo la wachezaji wenye...
View ArticleHASHEEM THABEET AHARIBU
Mtanzania anayecheza mchezo wa mpira wa kikapu nchini Marekani Hasheem Thabeet ametolewa uwanjani baada ya kufanya madhambi mara mbili.Hasheem anapambana kwa sasa ili kuweza kurejesha ndoto zake za...
View ArticleTETESI ZILIZOJIRI KWENYE MAGAZETI YA ULAYA LEO JULAI 14 2015
Mshambuliaji wa Paris St-Germain Edinson Cavani, 28 ndio "kipaumbele" kwa Manchester United kuziba nafasi ya Robin van Persie anayeelekea Fernabahce (TalkSport) pia mshambuliaji wa Bayern Munich Robert...
View ArticleMAGUFULI MGENI RASMI UFUNGUZI KAGAME
Waziri wa Waziri wa Ujenzi nchini Tanzania, John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa michuano ya Kombe la Kagame siku ya Jumamosi, Julai 18 2015 katika uwanja wa Taifa jijini...
View ArticleMZEE SAID AFUNGUA KOZI YA MAKOCHA WA MAKIPA
Mjumbe wa Kamati ya utendaji ya TFF na makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu nchini, Said Mohamed leo amefungua kozi ya makocha wa golikipa inayoendelea katika ofisi za TFF zilizopo Karume.Katika...
View ArticleAZAM YAMSAJILI ALIYEING'OA AFRIKA
Na Bertha Lumala, Dar es SalaamNYOTA mahiri na maarufu katika ukanda wa CECAFA, Jean-Baptiste Mugiraneza na mshambuliaji hatari wa El-Merreik Allan Wanga wamesajiliwa Azam FC, mabingwa hao wa Tanzania...
View ArticleNHIF YAIPIGA TAFU TIMBERLAND JOGGING YA YOMBO KILAKALA
Mlezi wa kikundi cha Timberland Jogging cha yombo Kilakala Carren Mgonja akizungumza na maafisa wa Mfuko wa Afya ya Jamii NHIF walipowatembelea makao yao makuu.Baadhi ya wanachama wa kikundi cha...
View ArticleVAN PERSIE AMEGOMA KUMSHUKURU HUYU WAKATI AKITAMBULISHWA FENERBAHCE
Robin van Persie kwa kile kisichoeleweka, ameamua kutotoa shukrani zake za dhati kwa meneja wake wa zamani Louis van Gaal, wakati alipokuwa akiishukuru klabu ya Manchester United kwa mchango wao kwake...
View ArticleARSENAL, MAN U WASHUKURIWA NA VAN PERSIE, HII NDIO PICHA ALIYOPOSTI KATIKA...
Robin van Persie amevishukuru vilabu vyake vya zamani vya Arsenal na Man United kwa mchao wao baada ya kutambulishwa rasmi katika klabu yake mpya ya Fenerbahce.Akitoa ukumbusho wa miaka 11 aliyokaa...
View ArticleSTRAIKA WA YANGA ATUA KCCA YA UGANDA
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Shaban Kondo amekamilisha uhamisho wake wa kutoka Stand United kwenda klabu ya KCC ya Uganda.Kondo alifanya majaribio na mabingwa hao wa zamani wa Uganda na kufanikiwa...
View ArticleMANCINI AELEZA SABABU ZA KUMUONEA WIVU JOSE MOURINHO ALIVYOKUWA INTER
Roberto Mancini amekiri kwamba alikuwa akimuonea wivu Jose Mourinho kushinda makombe matatu wakati alipokuwa akiifundisha Inter na kuongeza kuwa amefanya maamuzi ya kipuuzi kurudi kuifundisha klabu...
View ArticleNYUSO ZAO HAZIENDANI NA UMRI WAO, NIMEKUEWEKEA HAPA ORODHA YA WACHEZAJI 10...
10. Kurt Zouma – Miaka 209. Radamel Falcao – Miaka 298. Charlie Adams – Miaka 29 7. Danny Ings – Miaka 226. Jonjo Shelvey – Miaka 23 5. Pablo Zabaleta – Maika 304. Jeremy Toulalan – Miaka 313. Arjen...
View ArticleFLOYD MAYWEATHER ULINGONI TENA SEPTEMBA 12
Bondia Floyd 'money' Mayweather maarufu kama 'The Best Ever' anatarajiwa kurudi tena ulingoni September 12 mwaka huu mara baada ya pambano lake la May 3 alipomshinda Manny Pacquiao kwa pointi.Awali...
View ArticleBASTIAN SCHWEINSTEIGER: MJERUMANI WA KWANZA KUICHEZEA MAN UTD.
Na Simon Chimbo;Kiungo na nahodha wa timu ya taifa ya Ujerumani, Bastian Schweinsteiger, wiki hii amekua ni Mjerumani wa kwanza kuichezea klabu ya Manchester United baada ya kusaini mkataba wa miaka 3...
View ArticleUSAJILI: ARSENAL YAPATA PIGO
Washika bunduki wa jiji la London, klabu ya Arsenal ya nchini Uingereza, imepata pigo mara baada ya ripoti kutoka Ureno zikieleza kuumia kwa kiungo William Calvalho.William Calvalho mwenye miaka 23...
View ArticleTFF YAUNDA KAMATI YA USHAURI YA LIGI
Rais wa Shirikiso la Mpira wa Miguu nchini (TFF) Jamal Malinzi ameteua Kamati ya ushauri ya Ligi Kuu (VPL) na ligi Daraja la Kwanza (FDL) nchini. Mwenyekiti wa Kamati hiyo ni Alhaj Ahmed Mgoyi na...
View ArticleCECAFA KUENDESHA MTIHANI WA UTIMAMU WA MWILI KESHO
Baraza la Vyama Vya Soka kwa Nchi za Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) kesho Alhamisi Julai 16, litaendesha mtihani wa utimamu wa mwili (Physical test) kwa waamuzi wa watakochezesha michuano ya kombe...
View ArticleAL SHANDY, MALAKIA, KMKM KUWASILI KESHO
Timu ya Al Shandy kutoka nchini Sudan, Al Malakia kutoka Sudan Kusini na KMKM kutoka Visiwani Zanzibar zinatarajiwa kuwasili kesho jijini Dar es salaam tayari kwa ushiriki wao kwenye michuano ya kombe...
View Article