NAFASI HII BADO 'PROBLEM' SIMBA, KOCHA ATAKA KIFAA KINGINE...
Kocha wa klabu ya ‘Wekundu wa Msimbazi’ Simba amesema anataka kuongezwa kwa golikipa mwingine kwasababu Ivo pekeyake ameonekana hatoshi huku kocha huyo akiongeza kwamba, magolikipa wengine wa kikosi...
View ArticleSIMBA SASA 'AMSHA POPO' LUSHOTO
KAMBI ya Simba iliyopo mjini Lushoto, imetengemaa baada ya ‘bundi’ (balaa) lililokuwa likiwaandama wachezaji wake kwa kukumbwa na majeruhi kuyeyuka.Wakati kikosi cha Simba kikizidi kujifua vilivyo...
View ArticleSIMBA SC YAWA MCHARO...MZIGO WA OKWI UKO NJIANI
Uongozi wa klabu ya Simba umesema unatarajia kupokea pesa yao ya kumuuza mshambuliaji wao Emanuel Okwi muda wowote kuanzia sasa kutoka klabu ya Sonderjyske ya Denmark ambayo Mganda huyo amejiunga nayo...
View ArticleTETESI HII YA ARSENAL YATENGENEZA TWEETS KIBAO...
Baadhi ya mashabiki wa Arsenal bado wana hamu ya kuona klabu yao inasajili mchezaji mkubwa majira haya ya kiangazi.Leo zimetoka tetesi kwamba, nyota wa Bayern Munich, David Alaba anaweza kutua...
View ArticleWALE WA CHELSEA....USAJILI HUU UMEKAMILIKA RASMI
Done Deal: Chelsea imethibitisha kumsajili kipa huyo, huku ikisema kuwa imefurahi kumpata mlinda mlango huyo anayekuja kuziba nafasi ya Petr Cech aliyetua Arsenal majira haya ya kiangazi na huo ni...
View ArticleUNAKUMBUKA NINI TAREHE YA LEO MIAKA KADHAA ILIYOPITA?
kikosi cha Marekani kilichoshiriki mashindani ya kwanza ya kombe la dunia 1930 nchini Uruguay na kushinda mchezo wa kwanza dhidi ya Ubelgiji.Na Ramadhani Ngoda.Wakati soka likiwa na mengi ya kukumbuka....
View ArticleKASHFA NYINGINE KWA GOLIKIPA WA ARSENAL..'AFUMANIWA' AKIFANYA YAKE
Golikipa wa Arsenal, Wojciech Szczesny imeandikwa na gazeti la udaku la The Sun on Monday kwamba ameonekana kwenye video moja akivuta gesi kwenye mtungi yaani kama vile anapiga 'shisha' .Je, alikuwa...
View ArticleBAADA YA RAHEEM STERLING, KINDA MWINGINE AWAPASUA KICHWA LIVERPOOL
Kinda wa Liverpool, Jerome Sinclair anatazamiwa kufuata nyayo za Raheem Sterling baada ya kukataa kuongeza mkataba na klabu yake majira haya ya kiangazi na tayari ameshatweet (picha juu) akionesha...
View ArticleOFFICIAL: BAADA YA MVUTANO WA HAPA NA PALE, MANCHESTER UNITED YAVUTA KIFAA HIKI
Manchester United imethibitisha kukamilisha usajili wa Morgan Schneiderlin kutoka Southampton.Usajili huu unakuja muda mfupi baada ya Mashetani hao wekundu kuthibitisha kumsajili Bastian...
View ArticleMANCHESTER UNITED YATANGAZA KIKOSI CHA PRE-SEASON, NANI KAACHWA?
Manchester United imetangaza kikosi kinachoenda katika ziara ya maandalizi ya msimu mpya 'pre-season tour party' nchini Marekani na Stori kubwa ni kuchaguliwa kwa golikipa wa mashetani hao wekundu,...
View ArticleNIMEKUWEKEA PICHA 4 ZA WACHEZAJI WA MANCHESTER UNITED WALIZOTUPIA INSTAGRAM...
Wachezaji wa Manchester United wamekwea pipa kuelekea Marekani katika ziara ya maandalizi ya msimu mpya 'Pre-season' na hapa wame-post picha Instagram wakiwa ndani ya ndege
View ArticleKUIONA YANGA, GOR MAHIA JUMAMOSI KIINGILIO MKWANJA YA MBOGA TU!
Michuano ya Kombe la Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa Kagame Cup) inatarajiwa kuanza kutimua vumbi siku ya Jumamosi tarehe 18 Julai 2015 jijini Dar es salaam, kwa kushirikisha timu 13...
View ArticleSABA WAPITA MCHUJO WA TFF YA WANAWAKE....
Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha Soka cha Wanawake chini (TWFA) inatangaza kuwa wafuatao wamepita katika mchujo wa awali katika nafasi walizoomba kama ifuatavyo:1. Amina Ali Karuma - Mwenyekiti2....
View ArticlePLUIJM ANG'OA VIGOGO YANGA
PLUIJM ni noma! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kutokana na uamuzi mgumu na wa kishujaa uliofanywa na Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm, kwa kuwang’oa baadhi ya vigogo katika kikosi chake cha...
View ArticleHILI NDILO KANISA LA DIEGO MARADONA LENYE WAUMINI LAKI NANE DUNIANI
Na Simon Chimbo;Kwa wengi nchini Argentina, soka ni moja ya vitu wanaviabudu sana. Katika jimbo alilozaliwa mshambuliaji Carlos Tevez, Buenos, ndipo lilipo kanisa la gwiji wa soka duniani, Diego...
View ArticleKIPA WA SPURS AIPA PIGO MAN UTD
Golikipa Hugo Lloris wa klabu ya Tottenham Hotspur ya jijini London, ameipa pigo klabu yake ya Spurs baada ya kuumia katika mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu England.Nahodha huyo wa...
View ArticleKUHUSU USAJILI WA MAN UNITED, WENGER AMETOA KAULI HII HAPA
Kocha wa Arsenal Arsene Wenger anaamini kuwa Manchester United wamefanya usajili wa wachezaji wawili wa kiwango cha juu ambao ni Bastian Schweinsteiger na Morgan Schneiderlin.Baada ya kuisaidia United...
View ArticleMAFANIKIO YA YANGA NA SIMBA KUELEKEA KAGAME 2015
SOTE tumeanza kuijua kama Kagame Interclub Cup mnamo mwaka 2002, kipindi ambacha Rais wa Rwanda Paul Kagame alipoanza kuidhamini michuano hiyo inayoshirikisha vilabu bingwa kutoka Afrika Mashariki na...
View ArticleKERR APIGA MARUFUKU SOKA LA 'MWAKA 47'
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr,amegeuka kuwa mbogo kwa wachezaji wake kwa kuwataka kuachana na soka la kizamani (kucheza kivivu na kutegeana) na badala yake ‘kukaza mwanzo mwisho kwa kasi ile ile...
View ArticleFABIO CAPELLO UGALI WAMWAGIKA URUSI..
Shirikisho la soka la Urusi limethibitisha kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na kocha mkuu wa timu ya Taifa ya nchi hiyo, Fabio Capello baada ya kushindwa kutimiza malengo waliyojiwekea.Katika...
View Article