Quantcast
Channel: MPENJA SPORTS
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1447

ARSENAL, MAN U WASHUKURIWA NA VAN PERSIE, HII NDIO PICHA ALIYOPOSTI KATIKA TWITTER TAKE KUVIHUSU VILABU HIVYO

$
0
0
Robin van Persie amevishukuru vilabu vyake vya zamani vya Arsenal na Man United kwa mchao wao baada ya kutambulishwa rasmi katika klabu yake mpya ya Fenerbahce.
Akitoa ukumbusho wa miaka 11 aliyokaa ligi kuu Uingereza, Van Persie, kupitia mtandao wa Twitter aliposti picha na kuwashukuru wote kwa pamoja Arsenal na United kwa mchango wao kwake.
"Asante sana Arsenal na asante pia Manchester United". aliandika huku pembezoni akiwa ameweka picha mbalimbali za timu hizo na zawadi ambazo amewahi kujinyakulia kwa nyakati tofauti akiwa na timu hizo. "Nawatakia kila la heri."


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1447

Trending Articles