Quantcast
Channel: MPENJA SPORTS
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1447

WALE WA CHELSEA....USAJILI HUU UMEKAMILIKA RASMI

$
0
0

Done Deal: Chelsea imethibitisha kumsajili kipa huyo,  huku ikisema kuwa imefurahi kumpata mlinda mlango huyo anayekuja kuziba nafasi ya Petr Cech aliyetua Arsenal majira haya ya kiangazi na huo ni usajili wa pili baada ya kumnasa Radamel Falcao.

Nayo Stoke City imetangaza kwamba golikipa wake Asmir Begovic amesajiliwa na Chelsea kwa mkataba wa miaka minne.
Begovic mwenye miaka 28  amejiunga na Chelsea kwa ada inayoaminika kuwa paundi milioni 8.

Hata hivyo Begovic anaweza kujikuta akikaa benchi kwa msimu wa 2015-16 kwasababu  Thibaut Courtois  amejiimarisha kama kipa chaguo la kwanza Stamford Bridge.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1447

Trending Articles