Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, ilipowasili jijini Mbeya jana jioni kwa ajili ya kucheza mechi mbili za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Mbeya City (Februari 20) na Tanzania Prisons (Februari 24) zitakazofanyika Uwanja wa Sokoine.