Quantcast
Channel: MPENJA SPORTS
Browsing all 1447 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII NDIO KAULI RASMI YA MKWASA KWA WATANZANIA....

Mkwasa (kulia) akiongeza na waandishi wa habari leoKocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Charles Boniface Mkwasa amewashukuru...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWESIGWA WA TFF AFUNGUA SEMINA YA AIRTEL....ATOA TANO ZA MAANA!

Mwesigwa (wa pili kutoka kushoto)Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Mwesigwa Selestine,  leo amefungua semina ya makatibu wakuu wa vyama vya soka vya mikoa nchini  (FA's) kuhusu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PONDAMALI WA YANGA NA WENZAKE KUNOLEWA JULAI 13

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF litaendesha kozi ya makocha wa magolikipa nchini itakayofanyika Julai 13 - 17, 2015 jijini Dar es salaamJumla ya makocha wa magolikipa 29 wanatarajiwa kuhudhuria...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIPRE TCHETCHE SHUJAA, AZAM IKIITANDIKA JKT RUVU

MSHAMBULIAJI raia wa Ivory Coast, Kipre Herman Tchetche akitokea benchi aliifungia Azam FC bao pekee la ushindi ikiilaza JKT Ruvu 1-0, katika mchezo wa kirafiki dhidi ya JKT Ruvu uliopigwa jioni ya leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU KIMONDO ATANGAZA KUMALIZANA NA YANGA, NA HAYA NDIO ALIYOYASEMA

"Namshukuru mke wangu kwa kunitia moyo kwakuwa alisikia na kuambiwa mengi tangu mwanzo wa sakata hili....kuwa mumewe(Silla Yalonde) ni mshenzi..mwizi..mnafiki ....mnazi wa kutupwa wa Yanga,mtu mwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

OZIL ATAJA WAKALI WAKE WA MUDA WOTE KATIKA MAISHA YAKE YA SOKA, INGIA HAPA KUONA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUELEKEA MTANANGE DHIDI YA KMKM, PLUIJM AWATAHADAHRISHA WACHEZAJI YANGA

PluijmMabingwa wa Tanzania bara Yanga SC leo wanashuka uwanjani kuwakabili ‘wanamaji’ KMKM kutoka Zanzibar kwenye mchezo wa kirafiki utakaopigwa kwenye uwanja wa Taifa kuanzia majira ya saa 10:00...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MESSI AZUNGUMZA HAYA BAADA YA MKATABA WAKE NA SIMBA KUFUTWA RASMI

Ramadhani Singano ‘Messi’ (katikati) akizungumza na waandishi wa habariWinga wa zamani wa klabu ya Simba Ramadhani Singano ‘Messi’ amesema kwa sasa anahitaji muda wa kutulia na familia yake kabla...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII NDIO KAULI YA SIMBA BAADA YA MKATABA KATI YAO NA SINGANO KUVUNJWA.

Baada ya kamati ya sheria, maadili na hadhi za wachezaji ya shirikisho la soka Tanzania (TFF) chini ya mwenyekiti wake Richard Sinamtwa kutoa maamuzi wa kumtangaza mchezaji Ramadhani Singano ‘Messi’...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAN UNITED WAKO MBIONI KUMNASA BEKI HUYU KUTOKA 'SERIE A'

Klabu ya Mnchester United inakaribia kukamilisha dili la kumsajili beki wa kulia Matteo Darmian baada ya majadiliano kati ya United na klabu ya Torino ya Italia kufikia hatua nzuri.United wanahitaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAKATA LA STERLING NA LIVERPOOL BADO BICHI, AFANYA TUKIO HILI

Raheem Sterling ameiambia Liverpool kuwa hatarajii kuungana na klabu hiyo kwenda kwenye ziara ya kujiandaa na msimu ujao (pre-season tour).Mchezaji huyo wa kimataifa wa England anataka kulazimisha dili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIO UTANI: VIONGOZI WA TAIFA STARS SUPPORTERS WAJA NA MAMBO MAKUBWA USIPIME.....

VIONGOZI wa TAIFA STARS SUPPORTERS wamefanya kikao cha kwanza kujadili mipango na malengo mbalimbali ya kundi hilo ambalo limeundwa mahususi kwaajili ya kuzipa hamasa timu zote za Taifa na kwa kuanzia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBELE YA TAIFA STARS SUPPORTERS, TANZANITE KUWASHIANA CHECHE NA YOUNG...

Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania wenye umri chini ya miaka 20 (Tanzanite) itashuka dimbani siku ya jumamosi katika uwanja wa Azam Complex kucheza na timu ya U20 ya Zambia (The Young She-polopolo)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WENGER AMFANYIA OZIL KITU ROHO INAPENDA, INGIA HAPA KUJUA

Arsene Wenger ameweka wazi mpango wake wa kumpa Mesut Ozil fursa ya kudumu kucheza namba kumi kuanzia msimu ujao wa ligi kuu nchini Uingereza na mashindano mengine.Ozil, ambaye tangu asajiliwe kutoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM KUSHUSHA WATATU KWA MAJARIBIO

Azam FC inatarajia kumpokea mlinda lango MCameroon anayekipiga nchini DRC Nelson LUKONG – leo saa nne usiku na Kenya AirwaysMbali na Nelson LUKONG, kesho saa mbili asubuhi kiungo toka nchini England...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NGOMA AANZA KAZI, ATUPIA MOJA YANGA IKIIZIMA KMKM TAIFA

Mshambuliaji mpya waklabu ya Yanga Donald Ngoma leo ameanza vyema kwenye mechi yake ya kwanza baada ya kuifungia klabu hiyo goli pekee kwenye ushindi wa goli 1-0 kwenye mchezo wa kirafiki wa kujipima...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMAYE BEKI REAL MADRID AVUNJA MZIZI WA FITNA

Na Ramadhani Ngoda.Licha ya uvumi uliotanda kuwa anaweza kuondoka Santiago Bernabeu, mlinzi wa klabu hiyo Mhispania Dani Carvajal amejitia kitanzi kwa kuongeza mkataba wake utakaomuweka Bernabeu hadi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TURAN APEWA HESHIMA YA KUFA MTU UTURUKI

Arda Turan (kushoto) akiwa na meya wa Bayrampasa, Atila Aydiner (kulia) katika mapokezi maalumu ya nyota huyo alipotembelea nyumbani kwao.Na Ramadhani ngoda.Kiungo wa kimataifa wa Uturuki aliyesajiliwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PITCH LA SAMORA MACHEL IRINGA LAANZA KUSUKWA UPYA....

 Moja ya vifaa vinavyofanya kazi ya kuukarabati uwanja huoKutoka kushoto ni kaimu katibu mkuu wa chama cha soka IRFA,  RAMADHANI MAHANO,  meneja wa uwanja wa Samora LAZARO MANILA (katikati) na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MJUE SAAD KIPANGA, MSHAMBULIAJI HATARI JKT RUVU ALIYEZOEA KUIFUNGA SIMBA

Na Bertha Lumala, Dar es SalaamKATIKA safu hii ya wasifu wa mchezaji, leo tunamwangalia mshambuliaji hatari Saad Kipanga wa JKT Ruvu Stars inayonolewa na kocha wa zamani wa Yanga, Felix Minziro.DONDOO...

View Article
Browsing all 1447 articles
Browse latest View live