OKWI ATIMKIA NCHI HII KUFANYA MAJARIBIO...
Na Bertha Lumala, Dar es SalaamKIUNGO mshambuliaji wa Simba kutoka Uganda, Emmanuel Okwi anatarajiwa kuondoka kwenda Denmark kufanya majaribio ya kujiunga na mabingwa wa ligi kuu ya nchi hiyo, klabu ya...
View ArticleSIMBA VIPAJI YANASA MAJEMBE 30
Klabu ya Simba imepata vijana 30 leo katika siku ya kwanza ya mradi uliopewa jina la Simba Vipaji kati ya vijana 123 waliojitokeza kuonyesha uwezo wao wa kucheza mpira kwa ajili ya kuunda timu ya...
View ArticleTWAHA MWENYEKITI MPYA COASTAL UNION, SAFU NZIMA YA UONGOZI HII HAPA...
Wanachama wa Coastal Union waliohudhuria uchaguziUchaguzi uliofanyika jana tarehe 5/7/2015 matokeo yalikuwa kama ifuatavyo:1.MWENYEKITI: Jumla ya wapiga kura 207.Kura zilizopigwa 205.Kura zilizo...
View ArticleUKIACHANA NA MESSI, HAWA NI NGULI KUMI WALIOTAMBA NA VILABU VYAO LAKINI...
Johan Cruyff, Uholanzi (1966-77: Mechi 48 magoli 33)Alishinda mataji mengi akiwa na klabu ya Ajax, Barcelona na Fayenood, lakini hakuwahi kutwaa taji hata moja akiwa na timu ya taifa ya Uholanzi....
View ArticleWAKALA ATHIBITISHA CASILLAS KUITAKA PORTO
Na Ramadhani Ngoda.Wakala wa Mlinda mlango wa klabu ya Real Madrid na timu ya tifa ya Hispania, Iker Casillas,Carlo Cutropia ameweka wazi kuwa mteja wake anataka kutimkia kunako klabu ya Porto...
View ArticleANDY MURRAY ALINDA HESHIMA YA NYUMBANI
Na Ramadhani Ngoda.Mchezaji wa tenisi namba 3 kwa ubora duniani Muingereza Andy Murray amewatoa kimaso maso Waingereza baada ya kutinga hatua ya robo fainali ya michuano ya Wimbledon inayoendelea...
View ArticleHATIMAYE JUVE WAKATA TAMAA KWA POGBA
Na Ramadhani ngoda.Licha ya kukanusha taarifa za Paul Pogba kuwa njiani kuelekea Fc Barcelona kutokana na mzungumzo ya wiki iliopita, raisi wa Juventus Turin, Andrea Agnelli amekiri kuwa kiungo huyo...
View ArticleBARCELONA WAIPIGA BAO CHELSEA KWA TURAN
Na Ramadhani Ngoda.Mabingwa wa Hispania na Ulaya, Fc Barcelona hatimaye wameshinda mbio za kuwania saini ya kiungo wa kimataifa wa Uturuki na klabu ya Atletico Madrid, Arda Turan baada ya kuthibitisha...
View ArticleTYSON NA KLITSCHKO KUZICHAPA MWEZI OKTOBA
Na Ramadhani Ngoda.Wapenzi wa masumbwi ukimwenguni wanasubiri kwa hamu burudani nyingine ya mchezo huo baada ya kambi za mabondia Tyson Fury kutoka Uingereza na Wladmil Klitscko kutoka Ukraine kufikia...
View ArticleBENTALEB AJITIA KITANZI SPURS
Na Ramadhani ngoda.Kiungo wa kimataifa wa Algeria na klabu ya Tottenham Hotspur, Nabil Bentaleb hatimaye amefikia makubaliano ya kusaini mkataba wa miaka 5 utakaomuweka White hart Lane hadi mwaka...
View ArticleHANS POPPE: OKWI AMEUZWA DENMARK
Na Bertha Lumala, Dar es SalaamKUMBE kiungo mshambuliaji wa Simba kutoka Uganda, Emmanuel Okwi ameuzwa katika klabu ya Sonderjsyke ya Denmark, imefahamika.Okwi; aliyeibeba Simba kumaliza nafasi ya...
View ArticlePICHA NNE ZA MEMPHIS DEPAY AKIFANYA MAZOEZI KWA MARA YA KWANZA MANCHESTER UNITED
Mchezaji mpya wa Manchester United, Memphis Depay jana amefanya mazoezi kwa mara ya kwanza na wachezaji wenzake.Tazama picha kadhaa akiwa mazoezini;
View ArticleREAL MADRID WATUPIA NYAVU KWA STRAIKA HUYU.....
Kuna stori kwamba Real Madrid inavutiwa kumsaijili Msweden, Zlatan Ibrahimovic.Rais wa zamani wa Real Madrid, Ramon Calderon ame-tweet kwamba kuna uwezekano mkubwa wa dili hilo kukamilika na klabu...
View ArticleMAYWEATHER AVULIWA MKANDA WA UBINGWA ALIOMTWANGA MANNY PACQUIAO
Bondia asiyepigika, Floyd Mayweather amevuliwa mkanda wa ubingwa wa WBO, uzito wa Welterweight unaohusisha kilo 67 na 77 ambao alishinda mwezi Mei mwaka huu dhidi ya Manny Pacquiao kutokana na...
View ArticleRIPOTI: RAHEEM STERLING NDIYE KINDA MWENYE THAMANI ZAIDI ULAYA, ANGALIA...
Mshambuliaji inayeshinikiza kuondoka Liverpool, Raheem Sterling ametajwa kuwa ndiye mwenye thamani kubwa kwa wachezaji vijana wenye umri chini ya miaka 21 barani Ulaya, huku wanandinga wengine watatu...
View ArticleYANGA YAWASILI MBOZI KUKETI NA KIMONDO
Katibu mkuu wa Yanga, Dr. Jonas Tiboroha (kulia) amewasili Mbozi-Mbeya kuzungumza na viongozi wa Kimondo FC ili kufikia muafa wa mkataba wa mshambuliaji mpya wa klabu hiyo, Geoffrey Mwashiuya ambaye...
View ArticleWAKALA ATOA MAJIBU YA MAJARIBIO YA MSUVA BIDVEST WITS
Baada ya kimya kirefu kutanda kuhusu hatma ya winga wa Yanga Simon Msuva na hatma ya majaribio aliyofanya kwenye klabu ya Bidvest Wits ya Afrika Kusini, meneja wake Mohamed Msemo ameibuka na kufunguka...
View ArticleBIDVEST WITS YATOA MAJIBU YA MAJARIBIO YA MKUDE
Klabu ya Simba kupitia msemaji wake Hajji Manara imesema, imepokea taarifa kutoka klabu ya Bidvest Wits FC ya Afrika Kusini alikokwenda Jonas Mkude kufanya majaribio ikisema kwamba, wamemuona mchezaji...
View ArticleBREAKING NEWZZ!: TFF YAVUNJA RASMI MKATABA WA MESSI NA SIMBA
Shirikisho la soka nchini TFF limevunja rasmi mkataba wa Ramadhan Singano "Messi' na klabu yake ya Simba baada ya Wekundu hao wa Msimbazi kushindwa kuwasilisha vielelezo mbele ya kamati ya Sheria na...
View ArticleRUVU SHOOTING YABAKIZA MAJEMBE YAKE MAWILI
Timu ya Ruvu Shooting imewasainisha mkataba wa miaka miwili wachezaji wawili Damas Makwaya na Issa KANDURU, wote kutoka Ruvu JKT.Aidha wachezaji wa kikosi cha kwanza cha Shooting waliokwenda mafunzo ya...
View Article