Quantcast
Channel: MPENJA SPORTS
Browsing all 1447 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIO FERDINAND AMTUMIA UJUMBE HUU DAVID DE GEA

Mlinzi wa zamani wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya England, mkongwe Rio Ferdinand amemtumia ujumbe golikipa David de Gea ili asiihame klabu yake ya Manchester United.David de Gea ambaye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO: WALE WA CHELSEA, JOSE MOURINHO ATHIBITISHA HILI......

Jose Mourinho amethibitisha kwamba Chelsea inahitaji beki wa kushoto.Meneja huyo wa Chelsea anataka kumuuza Mbrazil, Filipe Luis baada ya kushindwa kufanya kazi ipasavyo London akitokea klabu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

"HATA LIONEL MESSI ANGEPATA WAKATI MGUMU KUVAA VIATU VYAKE"

James Milner amesisitiza kwamba hakuna mchezaji yeyote katika sayari hii anayeweza kurithi viatu vya nahodha wa zamani wa Liverpool, Steven Gerrard katika dimba la Anfield.Milner, 29, ambaye amejiunga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSIKIE MALIMI BUSUNGU BAADA YA KUTUPIA MBILI KAGAME...

Baada ya jana kufanikiwa kuiandikishia ushindi wa kwanza klabu yake ya Yanga, mshambuliaji mpya wa klabu hiyo aliyesajiliwa kutokea Mgambo JKT ya Tanga Malimi Busungu ambae alifunga magoli mawili timu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI MPYA KWA MASHABIKI WA SIMBA KUHUSU MAMILIONI YA EMMANUEL OKWI....

Okwi (kulia)Klabu ya Simba sasa mambo yao safi baada ya fedha Sh milioni 220 kuingia katika akaunti yao.Fedha hizo ni malipo ya mauzo ya mshambuliaji Emmanuel Okwi Arnold kwenda katika klabu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SABABU YA KHARTOUM MATAJIRI WANAOKUNYWA MAJI KWA KUPOKEZANA VIKOMBE..

Wachezaji wa Khartoum wakiwa wanakunywa maji wakati wa mazoezi yaoWachezaji wa timu ya Khartoum ya Sudan wamekuwa wakinywa maji kwa kutumia vikombe wakati wa mazoezi yao kitu ambacho kilizua maswali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RONALDO NA BENITEZ WAANZA KUTUNISHIANA MISULI

Cristiano Ronaldo amemcharukia kocha wake Rafa Benitez baada ya kukataa moja ya magoli yake wakati wa mazoezi ya klabu hiyo jana.Ronaldo alinaswa na camera akitupa mikono na kutamka neno 'Vai Caralho!'...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MESSI AMFANYA BONGO RAIS WA GABON KUWA DEREVA WAKE

Rais wa Gabon, Ali Bongo Ondimba , aliamua kuwa dereva wa muda wa Lionel Messi wakati alipowasili nchini kwake kwa ajili ya kuzindua uwanja mpya.Messi , alizindua uwanja huo unaojulikana kwa jina la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDUGU YAKE RIGOBERT SONG ANAYEKIPIGA KAGAME YUKO TAYARI KUKIPIGA POPOTE

Yengo Song (kulia) akimkabili John Bocco wakati Malakia FC ilipokutana na Azam FCBeki wa kati wa Malakia FC ya Sudan Kusini Yengo Song Ngum ni mchezaji wa kimataifa wa Cameroon anaekipiga kwenye ligi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHEZAJI NGULI WA NIGERIA AKIRI KUTUMIA UCHAWI KUSAKATA KANDANDA

Lagos, Nigeria.Mlinzi wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria maarufu kama Supper Eagles, hivi karibuni alitoa ushuhuda wa ajabu na kuwashtua watu wengi.Taribo West ambaye alikuwa ni kivutio sana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WACHEZAJI WALIOPEWA MAJUKUMU NA YA KUPIGA PENATI EPL

Hatari sana kumbe yule Mshambuliaji hatari wa Kasulu mjinianaetambulika kama Moses Machali alikuwa anang'ang'ania kuwa mpiga penati kwenye timu yake ya zamani lakini makocha wakamzingua ndo ikawa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA INAPOTANDAZA SOKA WAZUNGU NAO HUONEKANA HIVI.....

Raia wa kigeni (wazungu) wakifurahia ushindi baada ya Malimi Busungu kufunga goli la pili kwenye mchezo kati ya Yanga na TelecomYanga jana ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3-0 mbele ya Telecom ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO HIGHLIGHTS ZA CHELSEA IKIFA 4-2 DHIDI YA NEW YORK RED BULLS

Mabingwa wa ligi kuu England, Chelsea wamechapwa 4-2 na New York Red Bulls katika mechi ya kwanza ya maandalizi ya msimu iliyopigwa leo asubuhi nchini Marekani.Loic Remy ndiye aliifungia Chelsea goli...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAVID BECKHAM ACHORA TATTOO KUKUMBUKA TUKIO HILI LA MANCHESTER UNITED...

Nyota wa zamani wa Manchester United na England, David Beckham leo ameonesha Tattoo mpya kwenye ukurasa wake wa Instagram.Beckham ameamua kujichora Tattoo hiyo kama kumbukumbu ya msimu wa 1998-99 ambao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TWEET: SHABIKI WA LIVERPOOL AGEUKA KUWA NABII.....

Kuna watu wanajua kutabiri asikwambie mtu!Kuna shabiki mmoja wa Liverpool alitweet mwezi Mei mwaka huu akitabiri wachezaji watakaowasili Anfield majira ya kiangazi na kweli imetokea.Shabiki huyo wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TWEET YA KWANZA YA RADAMEL FALCAO BAADA YA LEO KUANZA MAZOEZI CHELSEA

Straika wa Colombia,  Radamel Falcao leo ameanza mazoezi  katika kikosi cha Chelsea  ambacho kinajiandaa na msimu mpya nchini Marekani.Baada ya mazoezi hayo chini ya Jose Mourinho, Falcao ame-tweet...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIVERPOOL YAUA MALAYSIA

Danny IngsDanny Ings amepiga hat-trick dhidi ya Felda United ya Malaysia katika muendelezo wa mechi za maandalizi kuelekea msimu mpya wa ligi kuu nchini Uingereza ambapo Liverpool imeibuka na ushindi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HEEGAN YAAGA RASMI KOMBE LA KAGAME

Na Bertha Lumala, Dar es SalaamHeegan FC imeaga rasmi mashindano ya Kombe la Kagame mwaka huu baada ya leo alasiri kukubali kipigo cha mabao 3-2 kutoka kwa Al Shandy katika mechi yao ya mwisho ya Kundi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

APPIAH AWASHANGAA CECAFA

KOCHA wa Al Khartoum ya Sudan, Kwesi Appiah, amedai kushangazwa na jinsi michuano ya Kombe la Kagame inavyochagua wachezaji bora wa mechi na kudai kuwa ndiyo maana soka la Afrika haliendelei.Baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BEKI HUYU WA CHELSEA AMESAINI MKATABA MPYA

Beki kinda wa Chelsea Tomas Kalas amesaini mkataba wa miaka mitatu na klabu yake.Beki huyo wa kati ambaye pia anaweza kucheza kama beki wa kulia, hivi karibuni alijiunga kwa mkopo wa muda mrefu na timu...

View Article
Browsing all 1447 articles
Browse latest View live