Quantcast
Channel: MPENJA SPORTS
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1447

TWEET YA KWANZA YA RADAMEL FALCAO BAADA YA LEO KUANZA MAZOEZI CHELSEA

$
0
0
Straika wa Colombia,  Radamel Falcao leo ameanza mazoezi  katika kikosi cha Chelsea  ambacho kinajiandaa na msimu mpya nchini Marekani.
Baada ya mazoezi hayo chini ya Jose Mourinho, Falcao ame-tweet mchana huu akisema: 
"Ni furaha kujiunga na timu na kuanza kazi na wachezaji wenzangu Chelsea".



Viewing all articles
Browse latest Browse all 1447

Trending Articles