Quantcast
Channel: MPENJA SPORTS
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1447

VIDEO: STRAIKA ANAYEWANIWA NA MANCHESTER UNITED AKOSA PENALTI CHINA

$
0
0
Wakitoka kuwafumua Valencia na Inter Milan, hatimaye Bayern Munich wamepigwa kwa mikwaju ya penalti dhidi ya wenyeji Guangzhou Evergrande katika mfululizo wa mechi za maandalizi ya msimu mpya nchini China.
Mshindi wa mechi hiyo amelazimika kupatikana kwa penalti baada ya kumalizika kwa suluhu ndani ya dakika za kawaida.
Watu wote walikuwa wanamuangalia nyota wa Bayern anayewindwa na Manchester United, Thomas Muller na kwa bahati mbaya amekosa penalti.
Tazama video ya mechi hiyo hapa chini:

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1447

Trending Articles