Quantcast
Channel: MPENJA SPORTS
Browsing all 1447 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII NI STORI MPYA KUHUSU ANGEL DI MARIA

Kimsingi kuna stori nyingi sana kuhusu dili la Angel Di Maria kujiunga na PSG kutokea Manchester United, lakini leo kuna jipya limeibuka.Kwa mujibu wa Gazeti la  L’Equipe dili h ilo limeshakamilika na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VITU USIVYOVIJUA KUHUSU GOR MAHIA

Michuano ya CECAFA inazidi kushika kasi katika ardhi ya jiji la Dar es salaam, bila shaka timu ambazo zimefika kwenye hatua hii zinastahili kupewa heshima kwani haikuwa kazi nyepesi kuvuka huko nyuma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMA HAKUWA NA UHAKIKA HII HAPA TAARIFA RASMI YA KUFUNGIWA KWA SHILOLE

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kama msimamizi na mratibu wa sekta ya Sanaa nchini limemfungia msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Zuena Mohamed kwa jina la kisanii Shilole kufanya shughuli za sanaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OLYMPIC GAMES: NI BEIJING TENA 2022

Wakati Urusi ikijiandaa kuandaa mashindano ya kombe la dunia mwaka 2018, marafiki wa Urusi kisiasa nchi ya China, imechaguliwa kuandaa mashindano mengine makubwa duniani ya Olympic mwaka 2022. Jiji la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI NJEMA KWA MASHABIKI WA ARSENAL

Viungo washambuliaji wa klabu ya arsenal ya jijini London, Theo Walcott na Santiago Cazorla wamesaini mikataba mipya itakayowakikishia kubaki pale Emirates.Theo Walcott ambaye amefunga magoli 76 katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAULI YA WENGER BAADA YA MIKATABA MIPYA YA WALCOTT, CARZOLA

Kutokana na viungo washambuliaji wa arsenal kusaini mikataba mipya tar 31/7/2015 siku chache kabla ya mechi ya ngao ya hisani dhidi ya vijana wenzao wa pale London, Kocha mkuu wa washika bunduki hao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANENO MANNE YA CRISTIANO RONALDO BAADA YA KUKANYAGA ARDHI YA HISPANIA

Real Madrid  wamerejea Hispania baada ya ziara ya mafanikio ya kujiandaa na msimu mpya huko Australia na China.Kufuatia kuwachapa AC Milan kwa penalti 10-9 mjini Shanghai, China na kutwaa ubingwa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM FC HAOOOOOOO! SASA NGOMA NA GOR MAHIA

HATIMAYE Azam fc warudia walichofanya mwaka 2012 ambapo walitinga fainali ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame, lakini wakatandikwa 2-0 na Yanga katika mechi ya fainali.Jioni hii...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FULL REPORT: HIVI NDIVYO AZAM IMETINGA FAINALI KOMBE LA KAGAME

Mfungaji wa goli la Azam FC Shah Farid Mussa (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake wa Azam mara baada ya kuigungia timu yake goli lililoivusha mpaka hatua ya fainaliAzam FC ambao ni wawakilishi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

STRAIKA HUYU AIHAMA LIVERPOOL

West Brom imekamilisha uhamisho wa Rickie Lambert kutokea Liverpool kwa ada ya paundi milioni 3.Baada ya kufuzu vipimo leo, Lambert amesaini mkataba wa miaka miwili.Straika huyo mwenye miaka 36 ambaye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI WA FILAMU YA AISHA WATEKA MAMIA YA WATU WILAYANI PANGANI

Na Frank MgungaFilamu iliyopewa jina la AISHA imezunduliwa rasmi siku ijumaa ya tarehe 31/7/2015 wilayani Pangani chini ya shirika lisilo la kiserikali la UZIKWASA.Aisha ni filamu ya tatu katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA YAPIGA CHINI USAJILI WA MAVUGO, YAMNASA BEKI HUYU…

Uongozi wa Simba unaamini kwa dhati na kwa vitendo dhima ya ukweli na uwazi katika utendaji wake. Katika kipindi cha wiki chache zilizopita klabu yenu ya Simba ilianza mchakato wa kumsajili mchezaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPUTANZA YAIVALIA NJUGA YANGA KUHUSU KASEJA

Chama cha Wacheza soka Tanzania SPUTANZA, kimewasilisha barua kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kulitaka limtangaze mlinda mlango Juma Kaseja kuwa ni mchezaji huru.Kaseja ambae Yanga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SABABU ZA AZAM KUWATUNGUA WATU KAGAME, STEWART HALL ANAZO HAPA

Baada ya Azam FC kuchukua ubingwa wa Kombe la Kagame bila kuruhusu goli hata moja kutinga kwenye nyavu zake. Kocha mkuu wa kikosi hicho, Muingereza Stewart John Hall (Mourinho) amesema, safu yake ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KERR ATENGENEZA SAFU YA MAUAJI SIMBA, NI HII HAPA

WATAIPENDA! Simba imeanza kunoga baada ya Kocha Mkuu wa timu hiyo, Dylan Kerr, kupata kombinesheni kali ya Simon Sserunkuma, Ibrahim Ajibu, Hamis Kiiza na Mussa Hassan ‘Mgosi’.Simba wameweka kambi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHAMBERLAIN AMPA ROY KEAN 'VIDONGE' VYAKE

Alex Oxlade-Chamberlain amejibu mapigo kuhusu wanaowakosoa wachezaji wa Arsenal kwa kupiga picha aina ya 'selfies', akidai kuwa wapo makini kuhusu kushindania makombe.Mchezaji huyo wa kimataifa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANDINGA HAWA KUMI WANAFAHAMIKA KWA KUZIHAMA TIMU ZAO NA KUELEKEA TIMU...

10. Ashley Cole – Arsenal (1998 – 2006), Chelsea (2006-2014)9. Luis Enrique – FC Barcelona (1991 – 1996), Real Madrid (1996 – 2004)8. Roberto Baggio – Juventus (1990-1995), AC Milan (1995-1997), Inter...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WACHEZAJI WALIOPATA UMAARUFU MKUBWA DUNIANI KUTOKANA NA MITIND YA NYWELE ZAO

10.Marouane Fellaini Taifa: UbelgijiKlabu:Man United9.Assou EkottoTaifa:Cameroon8.Mario BalotelliTaifa:ItalyKlabu: Liverpool7.GervinhoTaifa:Ivory CoastKlabu: AS Roma6.Abel Xavier5.Bas Savage 4.Sagna...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMANNE 04.08.2015

Manchester United Louis van Gaal alitoa dau mara mbili la pauni milioni 100 kutaka kumsajili Gareth Bale, 26, lakini lilikataliwa (Sun), Chelsea wamewaambia Tottenham kutaja bei ya beki wa kushoto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Alipoulizwa je? angemtoa kwa mkopo aksema hapana, lakini mwishowe hiki ndicho...

Hull City imekamilisha usajili wa mkopo wa msimu mzima wa mshambuliaji kinda wa Arsenal Chuba Akpom.Akpom (19) aliifungia Arsenal mabao matatu katika ushindi wao wa 4-0 dhidi ya mastaa wote wa Singha...

View Article
Browsing all 1447 articles
Browse latest View live