Baada ya mechi zote za UEFA Champions League kumalizika usiku wa Jumanne, baadhi ya timu zimefanikiwa kuibuka na ushindi huku nyingine zikiwa zimechezea vipondo huku kukiwa hakuna hata mechi moja iliyomalizika kwa sare. Haya hapa chini ni matokeo ya michezo yote kwa ujumla wake.